Wazee wa Baraza la Ushauri; Mjadala wa bandari unatupeleka pabaya, maoni yasikilizwe

Wazee wa Baraza la Ushauri; Mjadala wa bandari unatupeleka pabaya, maoni yasikilizwe

Mtu kaziba masikio, ni mtu wa aina gani ana jeuri na kibri hivyo? July
 
Hawa wazee kuna kitu hawajui. Wanufaika wa uzembe uliopo Bandarini hawataki paboreshwe kwani watakosa kupiga pesa.
Dp WORLD hawaitaki kabisa kwa kuwa itaboresha systems na viroba vya noti wanavyoondoka navyo kila siku hawatavipata tena.
Lissu, Mbowe, Tibaijuka, pengo, Kitima na Slaa ni mawakala wa kanisa wanaonufaika na ufisadi wa bandarini.
Kwa hiyo wazee wangu hiyo ndo habari niliyotaka nikupeni. Mbarikiwe.
Unaonaje DP World na hao Vibaka waliopo sasa wote wafukuzwe ?!!!

Kama serikali ya sasa iliwashindwa vibaka wa sasa itawashinda vibaka watakaokuja tena kwa kuwapa leeway ya kuwa na sauti kuliko hata sisi (Bora hawa vibaka ulikuwa na haki ya kuwashika na kuwatia ndani hata kuwafirisi) hao wa nje utawafanya nini wakati ni wanahisa wenzako ?
 
Yaani Samia ni mbabe kuliko mwendazake Magufuli? Au kwa vile kawapa uhuru wa maoni ambao Magufuli aliunyang'anya na mukaufyata? Ndiyo mnatumia kila kejeli mnayoiweza
Wakati JPM anafanya huo Ubabe Samia alikuwa wapi ? By the way ni JPM aliyemfunga Mbowe ? Au yule jamaa kazi yake iliyoingia matatani baada ya kupinga TOZO ilikuwa ni kipindi cha JPM ?
 
Nchi Ina Rais la hovyo kabisa na hana sifa kuitwa Rais ni hopeless kabisa
 
Yaani Samia ni mbabe kuliko mwendazake Magufuli? Au kwa vile kawapa uhuru wa maoni ambao Magufuli aliunyang'anya na mukaufyata? Ndiyo mnatumia kila kejeli mnayoiweza
Maza ana kiburi cha uzima. Watu hawataki mkataba yeye kapiga kimya hata kutia neno.
 
Kwa hiyo toka tupate uhuru wetu bandari zetu zilikuwa zinaendeshwa na kumilikiwa na Kanisa? Ndio utetezi wenu wa mkataba huu wa Bandari, transport corridors n.k? Ndio elimu mnayotakiwa kutupa?

Amandla...
Si tu bandari mkuu nchi nzima imekuwa chini ya kanisa kupitia mfumo kristo uliojichimbia serikalini tangu wakati wa Nyerere. Soma vitabu vya wakristo wenzako Dr John Syvalon na bwana Burgen utaona kila kitu kwa ushahidi wa wazi.
Unafikiri kwa nini maaskofu walipoulizwa wao wangetaka nini kiwe kwenye katiba mpya walijibu kuwa mahakama ya kaadhi isiwemo?
Yaani kanisa limekaa kiuadui dhidi ya waislamu . Hiyo mahkama ya kadhi wala haina madhara kwa wakristo ila maaskofu kwa roho chafu zao za kuchukia kwa waislamu hawataki isiwemo tu ili waislamu wasinufaike hata kama manufaa hayo hayatawaathiri wao. Mfumo kristo ni janga la taifa.
 
Huu mkataba haufai kurekebishwa na hata hilo karatasi la huo mkataba halifai hata kufungia Maandazi yaani hii karatasi ni ya kuzikwa kama mzoga wenye Kimeta.
 
Si tu bandari mkuu nchi nzima imekuwa chini ya kanisa kupitia mfumo kristo uliojichimbia serikalini tangu wakati wa Nyerere. Soma vitabu vya wakristo wenzako Dr John Syvalon na bwana Burgen utaona kila kitu kwa ushahidi wa wazi.
Unafikiri kwa nini maaskofu walipoulizwa wao wangetaka nini kiwe kwenye katiba mpya walijibu kuwa mahakama ya kaadhi isiwemo?
Yaani kanisa limekaa kiuadui dhidi ya waislamu . Hiyo mahkama ya kadhi wala haina madhara kwa wakristo ila maaskofu kwa roho chafu zao za kuchukia kwa waislamu hawataki isiwemo tu ili waislamu wasinufaike hata kama manufaa hayo hayatawaathiri wao. Mfumo kristo ni janga la taifa.
Seriously?!!!

Amandla...
 
acha upuuzi hata kama hawafai ndio uitoe bandari milele.
Je inamaana hakitazilwa kizazi chenye akili katika nchi hii??
Kama sisi tuliopo wote ni wajinga?
Akili umefanya nini nchi hii? weka wasifu wako tukupime akili zako. Viwanda na makampuni yote mmeiba mpaka tukauza vyuma tu sasa akili gani unazo ongelea hapa.
 
Tusisubirie kusimulia wajuu, tufanye kitu
Hivi ndio vibabu kutwa vinashinda kwenye kahawa kazi hawataki ila wanataka kudanganya wajukuu tu niliwaachia mali wajukuu zangu lakini serikali imeuza urithi wenu bandari. Pumbavu fanya kazi uwajengee wajukuu zako kama una wajukuu..
 
Nitasimulia wajukuu namna awamu ya sita ilivyotuuza utumwani Dubei tena bure.
Haiwezekani kuuzwa bila ridhaa yetu, ngoja mwarabu afike, ni tutampiga juju kila siku mpaka ataondoka, subiri aje
 
Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
View attachment 2680919

==
Wazee wamesema mjadala wa bandari utatugawa kutokana na namna unavyoendeshwa. Mzee mmoja wa Dar amesema hakuna anayepinga mpango huo au anayeshuku uwezo wa kifedha wa wawekezaji hao bali hawakubaliani na baadhi ya vipengele vya mkataba.

Ili kuepuka makundi, wazee wametoa wito maoni ya wataalamu yazingatiwe na vifungu virekebishwe. Aidha wenye malalamiko watumia njia maalumu kufikisha ujumbe
Good hizi ni point
 
Mna shida ya Elimu tuu,wapi unakopelekwa wewe
 
Back
Top Bottom