Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Offences za Mbowe zilikuwa ni za April -Nov 2020Wakati JPM anafanya huo Ubabe Samia alikuwa wapi ? By the way ni JPM aliyemfunga Mbowe ? Au yule jamaa kazi yake iliyoingia matatani baada ya kupinga TOZO ilikuwa ni kipindi cha JPM ?