Wazee wa Baraza la Ushauri; Mjadala wa bandari unatupeleka pabaya, maoni yasikilizwe

Issue ni awamu hii ina kiburi kuliko awamu zote. Huku kukomaza shingo si kwa kawaida hata kidogo
.... kuna picha ya kiongizi flani enzi zile akiwa Magogoni amevalia vazi ambalo nafananisha na waliokua wanavaa masultani wale wa ki-Oman. Kuna clip ya kajamaa kanaitwa Jusa akizungumza kwa kejeli .. Tanganyika ... wapo wengi tu ... sasa basi, basic psychology inasema hivi ... KIBURI kilichopo kimejaa hisia za kibaguzi dhidi ya UAFRIKA. Mbaguzi yeyote ni MPUMBAVU haswaa! Sasa changanya UPUMBAVU uliokithiri, misplaced and arab-centric superiority in sheer falsehood, parochial vision na tumbonomics unapata kitu hapo.
 
Mwambie samia, mtaje, acha kulemba lugha, sema mkataba huu ni uuzaji wa tanganyika urekebishwe au futwe kabisa, Acha kulemba lugha
Hiyo lugha ya kulemba na unafiki imejaa CCM. Ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo leo.
 
sijawahi hata siku moja kumsikia Samia akizungumza lugha ya namna hii uliyoiwasilisha hapa.
 
si
umeandika uongo mtupu
 
K
Unamtakia nini wakati nyinyi CHADEMA kila wakati mnamsakama eti anauza wanyama? Ajikalie kimya. Wabaguzi nyieee
Kwani wewe ujaona wamasai wanafurusha ili kumpa mwekezaji a.k.a mjombo maeneo ya kujivunia chochota anachotaka. Umeambia nimenufaika na nini ktk huo uwekezaji ktk mbuga za wanyama

Nikupe za chini ya Kapeti, kuna tetesi kuwa kumegundulika kuna madini ghari sana humo mbugani na mwarabu yupo hapo kwa ajili hiyo
 
You nailed it all mkuu. Sina swali tena.
 
Acha umbea mtoto wa kiume Wewe TISS wapo hawawezi kuruhusu jambo kama hilo. Heshimu taasisi za serikali mkuu.
 
Mbona wameruhusu bandalri kuuzwa?
Watapingaje wakati mkui wa TISS ni mteule wa rais
Haijauzwa. Hizo ni kauli za kichochezi zilizoasisi na Mbowe mmachame, mlutheri, mchanga, mlevi, dj na mbaguzi mkubwa dhidi ya waislamu na wazanzibar. Haijauzwa hata kidogo. Mama alushakanusha alipokuwa mwanza.
 
Tumeuzwa kwasbabu mkataba unajieleza utakuwa wa milele, na hatutaweza kujitoa kwenye mkataba hata kitokee nini. Sasa kama hapo hatujauzwa ni nini?. Na kama una maslahi kwa nchi, Zanzibar hawataki hayo maslahi?? Na kwanini ziwe bandari zote za tanganyika??
 
Acha umbea mtoto wa kiume Wewe TISS wapo hawawezi kuruhusu jambo kama hilo. Heshimu taasisi za serikali mkuu.

Tiss wapi unao wazungumzia, hawa ambao waliruhus mikataba ya nyuma halaf baadae ikawa wa kifisadi? Come on
Tiss inahitaji menonzaid especialy ya kuwazuia wana siasa ambao wanaenda agaist country interest
 
Haijauzwa. Hizo ni kauli za kichochezi zilizoasisi na Mbowe mmachame, mlutheri, mchanga, mlevi, dj na mbaguzi mkubwa dhidi ya waislamu na wazanzibar. Haijauzwa hata kidogo. Mama alushakanusha alipokuwa mwanza.
Wewe ni mbaguzi, hufai
 
Hivi na maandamano makubwa kabisa ya kudai katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu 2925 ni lini wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…