Wazee wa Baraza la Ushauri; Mjadala wa bandari unatupeleka pabaya, maoni yasikilizwe

Napendekeza katiba mpya itakayomleta rais wa Tanganyika ipitishwe kwanza kabla ya kukamilisha maafikiano ya mktaba wa bandari za Tanganyika. Hili la wazanzibari watupu kuhusika kusaini mkataba wa kuziuza bandari za Tanganyika linaleta ukakasi kwenye mioyo ya watanganyika.​
 
Umerogwa,

404: Page Not Found
 
Usipoteze muda mzee. Mambo yako mbali mno. Umechelewa
 
Huyu Mzee naye vipi aisee...

Usubiri na kutumia njia maalumu gani ili kuua nyoka hatari aliyeingia ndani ya nyumba yako?

Tunatumia njia na silaha yeyote iliyopo mbele ili mradi nyoka afe..!
 
Basi wanaonufaika na Bandari wako wengi maana mpaka Nachingwea, Itilima na Kibondo wapo wengi.
 
Mimi ni mzalendo halisi wa Tanzania ambaye sitaki kuona tunaendelea kuwa na bandari yenye mifumo inayoruhusu akina ana Tibaijuka na magenge yao ya tics wanaendelea kucota pesa bila mpangilio.
Wewe ni msaliti wa Tanganyika?
 
Wewe ni msaliti wa Tanganyika?
Kwani Tanganyika ilipozikwa mwaka 1964 april 26 kutokana na uroho wa kanisa kwa kumtumia Nyerere kuinyakua Zanzibar wewe hukuwepo au hata hujawahi kusimuliwa? Tanganyika ishakufa rasilimali zite ni za watanzania wote. Achana na wajinga kama akina Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe.
 
Kwanza kabisa ieleweke kuwa Sultani alikuwa na mamlaka katika maeneo machache ya pwani ya Tanganyika ( Bagamoyo, Mikindani n.k.). Machief wa maeneo walikuwa hawana habari nae na wala hakuwa na wawakilishi wake katika sehemu kubwa waliokuwa wanasimamia himaya yake. Ndio maana Karl Peters aliweza kuingia mikataba ya magumashi na baadhi ya machifu. Kusema kuwa pwani yote ilikuwa sehemu ya himaya ya Sultan ni matusi ya nguoni.

Amandla...
 
Kwa hiyo toka tupate uhuru wetu bandari zetu zilikuwa zinaendeshwa na kumilikiwa na Kanisa? Ndio utetezi wenu wa mkataba huu wa Bandari, transport corridors n.k? Ndio elimu mnayotakiwa kutupa?

Amandla...
 
Issue ni awamu hii ina kiburi kuliko awamu zote. Huku kukomaza shingo si kwa kawaida hata kidogo
Yaani Samia ni mbabe kuliko mwendazake Magufuli? Au kwa vile kawapa uhuru wa maoni ambao Magufuli aliunyang'anya na mukaufyata? Ndiyo mnatumia kila kejeli mnayoiweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…