Kwanza inaonekana hata maana ya biashara huijui.Unajua maana biashara? Mwenye biashara ya betting ni mmiliki wa kampuni yeye habashiri anafanya biashara. Wewe ndiye unayebashiri , ndio maana siku zote unaambiwa beti kwa kiasi unachomudu kupoteza.
Mfano wangu haukuwa wa kuonyesha LBL kama betting, bali kuonyesha kuwa kampuni yoyote inaweza kufilisika au kutapeli bila kusema ukweli kwa umma.LBL sio kampuni ya betting mkuu ni matapeli kama mfano wako ndio huo bora mjadala tuufunge
Mteja hana control yeyote juu ya system ya odds, usijaribu kuunganisha “fixed game” na “fraud ya mteja” hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.Fixed game maana yake ni mchezo uliopangwa matokeo, kwenye system zao kuna tabia zikifanyika ambazo sio za kawaida ina detect kama ni fixed game. , kampuni za kubashiri hazimiliki vitabu vya betting na odds huwa wananunua kama ilivyo kutoka katika kampuni zinazotengeneza vitabu vya betting kwahiyo kama fraud imefanyika kwa mteja maana yake wenye kukumu la kujua ni kampuni husika gemu husika inafungwa odds au mteja aliteshinda halipwi. Fixed game sio prediction ni mchezo ulionunuliwa moja kwa moja .
Sasa tatizo lako unahusisha betting na hizo kampuni za kuunganishana. Mimi nimesema hao Lbl ni matapeli na inafahamika hivyo. Kuhusu hizo Qnet na Global alliance sijui lakini nafahamu ni kampuni za kuunganishana na ili upate kipato nilazima uubganishe watu ukishindwa hupati kitu na hapo ndipo utasema umetapeliwa.. kwenye betting ni biashara ya wazi . Mmiliki ananufaika kama biashara zingine wakati wewe unayebeti ukibahatisha. Wewe unayebeti ndio inaweza kufilisika na kufulia lakini sio mmiliki. Mfano mimi nimewahi kupoteza zaidi ya milion 15 mwez wa 9 kuna casino ya ku spin nilishinda milion 4 baada ya hapo nikaendelea kucheza nashinda kidogo napoteza nyingi hadi ile niliyoshinda nikairudisha nikicheza nikidhan nitashinda tena nikapoteza milion 7 ndani ya saa 24 nikapumzika siku nikasema ngoja nirudishe ile pesa yangu nikapoteza milion 4 asubuhi na usiku wa manane 4 tena , kwa ufupi nilipoteza kiasi kikubwa ndani ya muda mfupi the same in football , ukishinda leo kesho kuna uwezekano mkubwa wa kurudisha pesa hiyo yote ama sehemu yake. Kwahiyo betting naielewa inavyoenda nimara chache sana utakuta mtu amefanikiwa kupitia betting 90% ni maumivu sasa hapo ndio utasema umfilisi mhindi? Wakati unashinda leo unarudisha kesho? Na ziada au ukishinda wewe kuna mwenzio amepoteza maelfu kwa maelfu. That s y nimekwambia wewe ukishinda pesa kubwa mhindi anafurahi kwasababu ni kama sehemu ya tangazo na kukuvuta karibu akupige zaidi. Nikasema asilimia kubwa mtu anayepata amewahi kupoteza zaidi ... wakati huo yeye ameajiri wataalamu wa kuchanganya michezo, kufanya analyss , ku detect risk , wewe unatia hela yako bila kinga yoyote then unataka umfilisi wakati huo huo kakuwekea limit na tena akiona unashinda mara kwa mara kuna uwezekano aka block account yako kwa fraud detection , pia wewe ukiweka timu 20 ukikosa hata moja amekupiga wakati wewe unahitaji upatie zote ndio ushinde🤣 kiufupi kampunI ikiondoka ujue soko limekuwa gumu kwao au wanaenda kuangalia upande mwingine wa kuwekeza ila kusema umfilisi hiyo ni Big noMfano wangu haukuwa wa kuonyesha LBL kama betting, bali kuonyesha kuwa kampuni yoyote inaweza kufilisika au kutapeli bila kusema ukweli kwa umma.
Jambo jingine unalochanganya ni kudhani utapeli unafuta hadhi ya kampuni, Kampuni inatambulika kwa usajili wake si kwa tabia yake ya baadaye.
Mfano QNET na Global Alliances ni makampuni yaliyosajiliwa kisheria, lakini bado yamehusishwa na utapeli.
Usajili hauondoi uhalali wa jina “kampuni.”
Hoja yangu haikuwa juu ya mtu mmoja, na hapo ndio unapo zingua.Bado kiwango wanachoshinda hakiwezi kuwa pigo kwenye kampuni ya betting kijana wewe kwenye maisha yako kuacha jackpot ya sport pesa umewahi kusikia hata mtu ameshinda bilion kwenye betting?
Kwani pressure ya malipo kwa washindi wengi sio sehemu ya “ugumu wa soko.”?Sasa tatizo lako unahusisha betting na hizo kampuni za kuunganishana. Mimi nimesema hao Lbl ni matapeli na inafahamika hivyo. Kuhusu hizo Qnet na Global alliance sijui lakini nafahamu ni kampuni za kuunganishana na ili upate kipato nilazima uubganishe watu ukishindwa hupati kitu na hapo ndipo utasema umetapeliwa.. kwenye betting ni biashara ya wazi . Mmiliki ananufaika kama biashara zingine wakati wewe unayebeti ukibahatisha. Wewe unayebeti ndio inaweza kufilisika na kufulia lakini sio mmiliki. Mfano mimi nimewahi kupoteza zaidi ya milion 15 mwez wa 9 kuna casino ya ku spin nilishinda milion 4 baada ya hapo nikaendelea kucheza nashinda kidogo napoteza nyingi hadi ile niliyoshinda nikairudisha nikicheza nikidhan nitashinda tena nikapoteza milion 7 ndani ya saa 24 nikapumzika siku nikasema ngoja nirudishe ile pesa yangu nikapoteza milion 4 asubuhi na usiku wa manane 4 tena , kwa ufupi nilipoteza kiasi kikubwa ndani ya muda mfupi the same in football , ukishinda leo kesho kuna uwezekano mkubwa wa kurudisha pesa hiyo yote ama sehemu yake. Kwahiyo betting naielewa inavyoenda nimara chache sana utakuta mtu amefanikiwa kupitia betting 90% ni maumivu sasa hapo ndio utasema umfilisi mhindi? Wakati unashinda leo unarudisha kesho? Na ziada au ukishinda wewe kuna mwenzio amepoteza maelfu kwa maelfu. That s y nimekwambia wewe ukishinda pesa kubwa mhindi anafurahi kwasababu ni kama sehemu ya tangazo na kukuvuta karibu akupige zaidi. Nikasema asilimia kubwa mtu anayepata amewahi kupoteza zaidi ... wakati huo yeye ameajiri wataalamu wa kuchanganya michezo, kufanya analyss , ku detect risk , wewe unatia hela yako bila kinga yoyote then unataka umfilisi wakati huo huo kakuwekea limit na tena akiona unashinda mara kwa mara kuna uwezekano aka block account yako kwa fraud detection , pia wewe ukiweka timu 20 ukikosa hata moja amekupiga wakati wewe unahitaji upatie zote ndio ushinde🤣 kiufupi kampunI ikiondoka ujue soko limekuwa gumu kwao au wanaenda kuangalia upande mwingine wa kuwekeza ila kusema umfilisi hiyo ni Big no
Acha upotoshaji kijanaKwani pressure ya malipo kwa washindi wengi sio sehemu ya “ugumu wa soko.”?
kwanza hoja yako ya kusema “timu 20” ni dalili ya mtu mchanga kwenye industry ya betting. Unaangalia betting kwa mtazamo wa watu wadogo wanaotafuta kushinda hela kubwa kwa mtaji mdogo.
Pili unakwepa kabisa kuzungumzia kundi kubwa la wadau wa sasa (hanscana, SATIVA,Taivina nk) ambao hutafuta odds ndogo kwa stake kubwa. Hawa ndio high-stake bettors.
Probability ya kushinda kwao ni kubwa zaidi kwa sababu odds ni ndogo na mechi ni chache, lakini stake ni kubwa.
Tatu kampuni linaweza kula mikeka ya watu waliobeti buku buku hata mikeka 10,000, lakini washindi wa stake kubwa wakiwa wachache tu mfano 500 wakashinda mikeka yao, hapo kampuni hupata hasara ya muda mfupi.
Hasa ikitokea siku ambayo mechi nyingi zimetoka vizuri (magoli mengi, favorites kushinda), pressure ya malipo huongezeka maradufu.
Sasa mazingira kama haya yakijitokeza kwenye kampuni dogo linalojitafuta kama M-Bet, Wasafi na mengine ya ndani, matokeo yake ni kushindwa kulipa washindi kwa wakati na hatimaye kutangaza kusitisha huduma.
Zile Screen shots ni demo au real?Acha upotoshaji kijana
Uko sahihi mkuu. Nyongeza uwezo wa Wabongo wengi kureason upo chini sana.Uzuri ni kwamba hakulazimishi kuweka hiyo option.
Ukipewa odds bado unakuwa na fursa ya ku edit kuweka option ambayo wewe unaiona inafaa.
Wao wanaweka mawazo yao jinsi wanavyoona haimaanishi kwamba wao walihudhuria kwenye kikao cha match fixing kiasi kwamba wana exactly results.
Mechi zile za FA cup zimechana mikeka ya wengi sana maana vitimu vya championship vimepiga wakubwa wengi pale EPL na Hanscana mwenyewe alisema hizo mechi hawezi kubetia.
Sasa humu nimeona kuna watu wanasema kuwa hizo ni hela za kampuni hawaweki hela zao na hata wakishinda hazitoki.
Sasa najiuliza kama ndio hivyo mwanini asiwe anabetia kila mechi tena odds nyingi kwasababu hana hasara.
Lakini unakuta Hanscana odds zake ni 1.59, tena hizi ni zile option ambazo zina 95% accuracy ya kutoa, hata odds 2 haifiki. Sasa uoga wa nini kwenye hela ya kampuni ambayo haitoki?
Watanzania kwenye kujenga hoja bado sana.Hanscana aliwaambia Watanzania wampe Psg halafu akaenda Ufaransa akawaambia Psg wafungwe ili watanzania waliwe.... hapa ndo utaamini watanzania wana IQ ndogo sana.
Hisia.hao ni betting influencer wanapewa demo accounts kufanya PR na wanalipwa commissions kwa codes wanazo share.
Pia wana apps na group za kubeti watsapp kazi yao ni kutoa mikeka na watu wanalipa subscription fee.
Bila kuonesha wapi upotoshaji upo, wewe ndio unakuwa mpotoshaji.Acha upotoshaji kijana
Michezo sio biashara?kubeti sio biashara
kubeti ni Michezo
Hajui watu wana wekeza humoMichezo sio biashara?
Wamekariri. Hawajui biashara zote ni kamari. Mwenye bus anapeleka abiria mwanza lakini anaombea ajaze abiria, anaombea pia lifike salama, huyu ana tofauti ipi na mtu aliyebet PSG ishinde?Hajui watu wana wekeza humo
Ila watu wanavyoiongelea vibaya kamari unaweza kusema labda haina maana kabisa.
Lakini ukikaa chini ukapiga hesabu utaona wakamaria ndio wanaoingiza pesa nyingi kuliko waajiri wengi tena hata wa sekta nyeti.
Mkamaria anaweza kuingiza milioni 5 kwa siku lakini unakuta anayekuja kuidharau kamari, salary yake ni laki 5 kwa mwezi amejitahidi sana milioni 1
Halafu kingine wakamaria ndio wanaoongoza kwa roho ya kutoa kuliko watu wakawaida.
Eti ooh "betting sio kazi kwanza ni biashara yenye risk na yenye hasara".Wamekariri. Hawajui biashara zote ni kamari. Mwenye bus anapeleka abiria mwanza lakini anaombea ajaze abiria, anaombea pia lifike salama, huyu ana tofauti ipi na mtu aliyebet PSG ishinde?
Mwenye Lori anapeleka mafuta congo anaombea lifike salama, anaombea lisitekwe na majambazi, huyu ana tofauti ipi na anayeombea Man city ishinde? Biashara zote ni ngumu ndio maana hata hizo wapo mamia wanafilisika
Nilishawahi kubet milioni 8. Mpango ulikua kununua gari nikawa napanda taratibu nikaishia kwenye milioni 2. Kila nikitaka kuweka stake zaidi ya hapo nakua muogaIla alijitahid sana kuchagua option za uhakika lakin bado kikamramba
Ukitaka kujua hawa jamaa(kampuni za betting) haziwezekani we weka tu hela kubwa utajua hujui
Bank tu huwa zinapata hasara na kufilisika na kufungwa, sijui wanashangaa nini individual akipata hasara kwenye kubetEti ooh "betting sio kazi kwanza ni biashara yenye risk na yenye hasara".
Wakati ATCL tunaenda huu mwaka wa 5 na kwenye kila ripoti za CAG inaonesha ni kampuni lenye kupata hasara tu.
Sasa hiyo si betting ya upande mmoja ambayo ni ya lost pekee?
Hata wakamaria huwa hawa lost kiwango hiki.
Sportybet wanailiopa rela Madrid mabilioni ya pesa ili kuwatangaza, sportybet wanawalipa kina mbappe na wachezaji wengine wakubwa ili wawafanyie Pr. Alafu haohao sportybet wafiche kumlipa au kumtumia hanscana? Akili zako ziko sawa kweli?Kwani njia ya PR ni moja tu? Kwani wakimpa kibunda cash awe anabet wewe utajuaje? Kwani nao unazan ni wajinga, kama hadi wewe hapo manzese unajua watu wa demo account ni matapeli bas nawao wanakuja kivingne ili waendelee kuneemeka
Unaweza ufe,Nilishawahi kubet milioni 8. Mpango ulikua kununua gari nikawa napanda taratibu nikaishia kwenye milioni 2. Kila nikitaka kuweka stake zaidi ya hapo nakua muoga
Nikapanda hivyo hivyo na stake ya milioni 2 mpaka ikapatikana hela ya kununua ist(mara mbili tatu mhindi alishawahi kunipiga lakini hajawahi kunirudisha kwenye default setting kabisa) , sasa nikaona ist gari ya chini sana ngoja nijazie mzigo ufike hela ya kuchukua gari ya maana kidogo
Safari hii nikasema naweka dau kubwa ili safari isiwe ndefu. Nikafuta odds 3 nikaweka milioni 8. Zilikua game za uhakika lakini nusura roho inichomoke. Mkeka ulitiki gari ikapatikana cha ajabu sijawai kurudia tena ule mpango