Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Unaupeo mdogo wa kuelewa mambo kwaherSportybet wanailiopa rela Madrid mabilioni ya pesa ili kuwatangaza, sportybet wanawalipa kina mbappe na wachezaji wengine wakubwa ili wawafanyie Pr. Alafu haohao sportybet wafiche kumlipa au kumtumia hanscana? Akili zako ziko sawa kweli?
Hanscana kabet PSG ashinde, hapo anakua kakuingiza chaka vipi? Mechi kama hiyo mtu yoyote mwenye akili angeweka PSG anashinda
Kama huu ni upeo mdogo basi wewe huo upeo hauna kabisa, utakua una upenyo tuUnaupeo mdogo wa kuelewa mambo kwaher
Mkuu ni mara ngapi umepanda basi na umefika salama? Mara nyingi sana. Sasa utafanajishaje na kubeti ambapo asilimia zaidi ya 90 ni vilio! Ingekua kupanda basi ni kubeti, hakika nisingepanda.Wamekariri. Hawajui biashara zote ni kamari. Mwenye bus anapeleka abiria mwanza lakini anaombea ajaze abiria, anaombea pia lifike salama, huyu ana tofauti ipi na mtu aliyebet PSG ishinde?
Mwenye Lori anapeleka mafuta congo anaombea lifike salama, anaombea lisitekwe na majambazi, huyu ana tofauti ipi na anayeombea Man city ishinde? Biashara zote ni ngumu ndio maana hata hizo wapo mamia wanafilisika
Ndo nawambia huyo ni kijana wa PR wanaanza leta ooh vilienda vilirudUtashangaa siku anaumwa na yeye anaomba kuchangiwa michango na walalahoi wavuja jasho!
Lwiva wewe endelea kutafuta mtaji wenzio wanatafuta pesaHanscana ame-share mkeka wake alioliwa jana baada ya timu moja kuchana. Uzuri mkeka huu aliupost kabla ya mechi.
Una maoni gani?
View attachment 3529432
Kwamba sisi ndo tuna details za huyo ndugu yako na sio ww mwnyw?Kuna ndugu yangu naskia kapiga pesa M100 kwenye kubet
Kwa hiyo mtu akiwa anabeti jamii inatakiwa kumtenga inapotokea ishu ya msaada kama hiyo?Utashangaa siku anaumwa na yeye anaomba kuchangiwa michango na walalahoi wavuja jasho!
Unafika salama sababu dereva yupo makini ana uzoefu, dereva akipoteza umakini kidogo tu anapata ajali.Mkuu ni mara ngapi umepanda basi na umefika salama? Mara nyingi sana. Sasa utafanajishaje na kubeti ambapo asilimia zaidi ya 90 ni vilio! Ingekua kupanda basi ni kubeti, hakika nisingepanda.
Mkuu unabetia stake ya milioni kumi, jamii haiwezi kukuelewa!Kwa hiyo mtu akiwa anabeti jamii inatakiwa kumtenga inapotokea ishu ya msaada kama hiyo?
Oya we jamaaa hatareee 🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu kazini kwetu kazi inaanza! Dakika 20 zijazo!
Kuna mwenzake aliwahi nitukana.Ukiiongelea vibaya betting ni kama unamu-attack Jitu Bandia personally 😅🤣😂
NgoooAisee wazee wakubet wana roho ngumu mno Kuna mshkaji game ya tanzania na tunisia alitia laki 9 akaweka matokeo ni 1-1 na chuma ikaitika
Hivi mnatuoanaje lakini!?Aisee wazee wakubet wana roho ngumu mno Kuna mshkaji game ya tanzania na tunisia alitia laki 9 akaweka matokeo ni 1-1 na chuma ikaitika
Anahamasisha betting, hata kusuka mkeka hajuiHanscana ame-share mkeka wake alioliwa jana baada ya timu moja kuchana. Uzuri mkeka huu aliupost kabla ya mechi.
Una maoni gani?
View attachment 3529432
Wala sijawahi kubeti tangu nizaliwe na sitegemei tu binti yangu....ila washkaji zangu wengi wanabet sana wapo wanaoliwa na wapo wanaokula....siwezi kukusawishi mtu ambae hata sikujuiHivi mnatuoanaje lakini!?
Mnatuchukulia watu kama ng'ombe eti?!
Ili mzivute kende za wanaume kuelekea kwenye magroup yenu!
900k Correct score?! LAMAAmAKO!
View attachment 3531392