Psg kawaangusha wengi mno janaUnaongea hvy kwasababu umeona imetoa goli moja tena n psg ndo amefungwa, Ila mkamaria yeyote hawezi kwenda tofauti na huo mkeka wa hanscana.
Nyie ndo wale wakamaria bora ila ubora wa baada ya matokeo
Uzuri ni kwamba hakulazimishi kuweka hiyo option.Mkuu mi naona tuna watu wengi sana wana akili za kuvukia barabara.. Sasa hapo PSG amefungwa Hanscana amehusika vipi kulaghai watu... Wakati kiuhalisia Psg hata acheze tena sasa hivi na hao Paris fc bado nitampa tu psg ashinde... Sasa Hanscana amenituma mimi nimpe Psg na amewaambia Psg wafungwe.
Ukifanya hivyo vipi mechi ikiisha 0:0. Ibilisi mbaya sanaHiyo ya PSG win either half bado ni option ngumu...kwa mtazamo Wangu walau angeomba goli moja kwa mechi nzima.
Mkuu kitu pekee nisichokielewa mimi ni watu kusema Hanscana analaghai watu... Kwa mfano hapo Psg amefungwa then Hanscana amelaghai vipi watu... labda aichukie tu betting lakini sijaona hoja ya msingi.Uzuri ni kwamba hakulazimishi kuweka hiyo option.
Ukipewa odds bado unakuwa na fursa ya ku edit kuweka option ambayo wewe unaiona inafaa.
Wao wanaweka mawazo yao jinsi wanavyoona haimaanishi kwamba wao walihudhuria kwenye kikao cha match fixing kiasi kwamba wana exactly results.
Mechi zile za FA cup zimechana mikeka ya wengi sana maana vitimu vya championship vimepiga wakubwa wengi pale EPL na Hanscana mwenyewe alisema hizo mechi hawezi kubetia.
Sasa humu nimeona kuna watu wanasema kuwa hizo ni hela za kampuni hawaweki hela zao na hata wakishinda hazitoki.
Sasa najiuliza kama ndio hivyo mwanini asiwe anabetia kila mechi tena odds nyingi kwasababu hana hasara.
Lakini unakuta Hanscana odds zake ni 1.59, tena hizi ni zile option ambazo zina 95% accuracy ya kutoa, hata odds 2 haifiki. Sasa uoga wa nini kwenye hela ya kampuni ambayo haitoki?
Bado uelewi somo endelea maana una ubongo wa sisimizMkuu mi naona tuna watu wengi sana wana akili za kuvukia barabara.. Sasa hapo PSG amefungwa Hanscana amehusika vipi kulaghai watu... Wakati kiuhalisia Psg hata acheze tena sasa hivi na hao Paris fc bado nitampa tu psg ashinde... Sasa Hanscana amenituma mimi nimpe Psg na amewaambia Psg wafungwe.
Hapo anapiga PR ale au aliwe kama hujawah elewa msemo wa biashara matangazo basi matangazo yenyewe ndo hayoMkuu kitu pekee nisichokielewa mimi ni watu kusema Hanscana analaghai watu... Kwa mfano hapo Psg amefungwa then Hanscana amelaghai vipi watu... labda aichukie tu betting lakini sijaona hoja ya msingi.
We mpumbavu akili unde ndio imesababisha al nasrr afungwe jana? Apate red? Michezo kama mpira ni kamari ya wazi sana hamna ubabaishajiKamari ni kamari tu. Muendesha kamari lazima ashinde. Wanaajiriwa wataalamu wa sayansi kompyuta, hesabu na akili unde kutengeneza mifumo inayokukandamiza wewe mkamaria na kumfaidisha mwenye kamari.
Kama wewe sio mbobezi wa sayansi kompyuta, akili unde ama hesabu hutoweza kuchambua hiyo mifumo na kupata upenyo. Na mbaya zaidi kamari zina uraibu.
Hoja yao ni kwamba kawaingiza watu chaka kwasababu hiyo inayoonekana kama lost sio lost halisi kwasababu hizo ni hela hewa hata angeshinda isingebadilisha kitu.Mkuu kitu pekee nisichokielewa mimi ni watu kusema Hanscana analaghai watu... Kwa mfano hapo Psg amefungwa then Hanscana amelaghai vipi watu... labda aichukie tu betting lakini sijaona hoja ya msingi.
Kwa hiyo unazungumzieje siku zote anavyopiga PR sisi tunampa psg na tunakula hela? Au tukina hela anakua hajapiga PR?Hapo anapiga PR ale au aliwe kama hujawah elewa msemo wa biashara matangazo basi matangazo yenyewe ndo hayo
Alooo huyo jamaa kumbe post za juu ndio aliandika hivyo!!!We mpumbavu akili unde ndio imesababisha al nasrr afungwe jana? Apate red? Michezo kama mpira ni kamari ya wazi sana hamna ubabaishaji
Hapo nimekuelewa mkuu, kumbe kwao 7.5m ni hela kubwa mno kui-betia.. Tatizo ni umaskini uliopelekea hizo fikra...Hoja yao ni kwamba kawaingiza watu chaka kwasababu hiyo inayoonekana kama lost sio lost halisi kwasababu hizo ni hela hewa hata angeshinda isingebadilisha kitu.
Yani ni hela pambo ambayo utaishia tu kuiona hapo kwenye account yake ya betting lakini ni hela ambayo hawezi ku withdraw na kuitumia katika matumizi mengine.
Hayo ndio madai yao.
Mkuu hiyo mbona ipo wazi.. hao wanalipwa commission na wanapewa demo account. Yaani ukiona mtu anatangaza mambo ya promo code ujue wewe ndo fursa kwake.Hata sativa na Taivina nina wasiwasi nao
Kamari ni asiliMnadanganyana tu hapa.
Kamari ni uraibu mbaya sana.
Kingine the house Always win
Davido alibeti dola 25,000 mechi ya Nigeria na Tanzania kuwa zifungane.Hapo nimekuelewa mkuu, kumbe kwao 7.5m ni hela kubwa mno kui-betia.. Tatizo ni umaskini uliopelekea hizo fikra...
Acha uongoUsichoelewa kwamba hao jamaa hawawek hela zao wenyewe bali kampuni inawapa pesa kuwahadaa wajinga kwa staili hiyo, hzo atakama mkeka ukitik hizo hela hapat na hata akiliwa hizo sio hela zake hana hasara
Kifupi ni PR au hadaa
Mkuu naona unajaribu kumpaka simba rangi ya punda milia.Kamari ni asili
Kila kitu ni kamari na ndio maana tunaishi kwenye ulimwengu wenye series of random events
Hata elimu ni kamari pia kwasababu watu wanasoma ili waje kuajiriwa na saizi unaweza kusoma na PhD yako na bado ukasota mtaani kwa u jobless.
Unamposa demu unaweka stake (mahai) ili umuoe lakini hujui kama ndoa itadumu au atakuja kukusaliti na mahusiano yakaisha. Hii ni kamari yenye matumaini.
Unaweza usibeti kwakuweka hela kwenye mechi lakini ukawa umebeti kwa stake ya furaha au kupoteza furaha.
Mechi ikaisha timu yako imefungwa ndip hao watu tunasikia wamejinyonga mara wengine wamechoma jezi, wengine wameshindwa kula.
Zote ni betting.
Clinic tena?Mkuu naona unajaribu kumpaka simba rangi ya punda milia.
Sikia wazungu wameanzisha mpaka clinic za uraibu wa kamari(betting, casino) watu wanakaa Sober unajua kwanini??
Mkuu Kamari inavichocheo vyake "Dopamine" na hiki kitu hakuna mcheza kamari aliekomaa anaweza kukicontrol.
All in all kama kuna watu inawapa furaha tuwaache,,