Sasa kwa mfano hii hesabu ya 6÷2x3 jibu lake ni lipi?Ulichokiandika unakielewa? Naona unazungumza kitu kimoja unajizungusha, sasa 2(3) na 2x 3 tofauti yake nini? mathematics formula ila uelewa ndo shida. .
I am too tired to argue, ila ingependeza tukafungua uzi watu wengi waliochangia hapa tukakutana ku discuss hesabu. Nimegundua kuna watu wengi tunapenda hesabu ila hatogombani tunaelekezana tu. .
Kumbe wewe ni msoga gang?Mim siyo Sukuma gang kama wew
6÷2(3) manake ukifungua mabano unazidisha, nikimaanisha kama 6÷2(a + b) itakuwa 6÷2a+ 2b sasa unafunguaje yenyewe bila kuizdisha na kilichondani opening bracket obvious unatakiwa ufungue kwa kuzidisha na sio kuweka alama ya kuzidisha x, bali unafungua kwa kuzisidha kilichondani. Tatizo liko hapa kwenye 2(3) watu wanachukulia kama hizi ni product mbili, wakisahau kuwa 6 ÷ (CONTECT 2x3); 6 unagawanya kwa 2(3) - maana yake 2(3) inajitegemea. .Sasa kwa mfano hii hesabu ya 6÷2x3 jibu lake ni lipi?
Ulichokiandika unakielewa? Naona unazungumza kitu kimoja unajizungusha, sasa 2(3) na 2x 3 tofauti yake nini? mathematics formula ila uelewa ndo shida. .
I am too tired to argue, ila ingependeza tukafungua uzi watu wengi waliochangia hapa tukakutana ku discuss hesabu. Nimegundua kuna watu wengi tunapenda hesabu ila hatogombani tunaelekezana tu. .
mie nadhani number ambayo iko nje ya bracket ina influence kilicho kwenye bracket. Hili nitalitolea mfano: 6÷2(a) = 6÷2a.
it is very interesting chatting math with you here, please anzisha group humu nitakuwa mdau.Angalia, 6÷2(a)=6÷2×a, kwa sheria ya Bodmas, 6÷2×a=(6÷2)×a=3a.
Niliwatumia havard email ila wakijibu nitaweka hapa na kukutag,Kwakweli Hisabati ni janga la taifa, watu hawajui kuwa msingi wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ni Hisabati kitu ambacho wazungu wametuacha mbali mno, kama 6÷2(2+1) inawatatiza watu vipi tukija kwenye Advanced branches za Hisabati ?!!, ipo haja ya kuweka mada zinazohusu Hisabati pekee ili kuwafanya watu wajifunze na wapende hili somo.
Kumbe hujui unachokizungumza. 6÷2(a+b) ni sawa na 6÷2a+2b ??? Hujui hesabu6÷2(3) manake ukifungua mabano unazidisha, nikimaanisha kama 6÷2(a + b) itakuwa 6÷2a+ 2b sasa unafunguaje yenyewe bila kuizdisha na kilichondani opening bracket obvious unatakiwa ufungue kwa kuzidisha na sio kuweka alama ya kuzidisha x, bali unafungua kwa kuzisidha kilichondani. Tatizo liko hapa kwenye 2(3) watu wanachukulia kama hizi ni product mbili, wakisahau kuwa 6 ÷ (CONTECT 2x3); 6 unagawanya kwa 2(3) - maana yake 2(3) inajitegemea. .
mie nadhani number ambayo iko nje ya bracket ina influence kilicho kwenye bracket. Hili nitalitolea mfano: 6÷2(a) = 6÷2a.
Tupe jibu mkuu!Haki ya nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nielekeze basi hapo nisipopajua maana huwezi jua vyote, ndio maana ya kufundishana au unasemaje Doctor of Mathematics?Kumbe hujui unachokizungumza. 6÷2(a+b) ni sawa na 6÷2a+2b ??? Hujui hesabu
Mkuu kuondoa blacket n lazima umalzane na tendon la nje yakeHebu na sisi tujaribu:
6÷2(2+1)= 6÷2×3, kulingana na sheria ya BODMAS, yaani MAGAZIJUTO lazima uanze na 6÷2 na ndipo jibu lake uzidishe kwa 3; yaani (6÷2)×3=3×3=9.
it is very interesting chatting math with you here, please anzisha group humu nitakuwa mdau.
Ila nikiwa nakupinga usiwe unapata stress
Mkuu kuondoa blacket n lazima umalzane na tendon la nje yake
Niliwatumia havard email ila wakijibu nitaweka hapa na kukutag,
Jibu sahihi ni 1 mnaong'ang'ania 9 inabid muongeze umakini ukiangalia nje ya mabano hakuna zidisha 6÷2(2+1) kwa maana hiyo ile hiki 2(2+1) ni kitu kimoja huwezi ukavitenganisha kwaiyo lazima umalizane navyo kwanza.
Ila ingekua 6÷2×(2+1) hapo jibu ni 9, kwa kufuata kanuni ya magazijuto
Lakini kwenye swali hiyo alama ya zidisha haipo kwamaana hiyo 2 iliyopo nje ya mabano inabeba vilivyopo ndani ya mabano.
View attachment 2346938
We jamaa hujui hesabu hafu mbishi kama shipa.Taabu kwelikweli,
Hivi mtu akiandika 2a sio sawa na 2×a ??!!, kama ni sawa utapingaje kwamba 2(2+1)=2×(2+1) ??!!
6÷2(2+1)=6÷2×(2+1)=6÷2×3=(6÷2)×2=9. Hapa ni sheria ya Magazijuto ndiyo inayofanya kazi.
Hili swali halina haja ya Harvard huyo tu anakaza fuvuNiliwatumia havard email ila wakijibu nitaweka hapa na kukutag,
We jamaa hujui hesabu hafu mbishi kama shipa.