Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Ulichokiandika unakielewa? Naona unazungumza kitu kimoja unajizungusha, sasa 2(3) na 2x 3 tofauti yake nini? mathematics formula ila uelewa ndo shida. .

I am too tired to argue, ila ingependeza tukafungua uzi watu wengi waliochangia hapa tukakutana ku discuss hesabu. Nimegundua kuna watu wengi tunapenda hesabu ila hatogombani tunaelekezana tu. .
Sasa kwa mfano hii hesabu ya 6÷2x3 jibu lake ni lipi?
 
6÷2(3) manake ukifungua mabano unazidisha, nikimaanisha kama 6÷2(a + b) itakuwa 6÷2a+ 2b sasa unafunguaje yenyewe bila kuizdisha na kilichondani opening bracket obvious unatakiwa ufungue kwa kuzidisha na sio kuweka alama ya kuzidisha x, bali unafungua kwa kuzisidha kilichondani. Tatizo liko hapa kwenye 2(3) watu wanachukulia kama hizi ni product mbili, wakisahau kuwa 6 ÷ (CONTECT 2x3); 6 unagawanya kwa 2(3) - maana yake 2(3) inajitegemea. .

mie nadhani number ambayo iko nje ya bracket ina influence kilicho kwenye bracket. Hili nitalitolea mfano: 6÷2(a) = 6÷2a.
 
Ulichokiandika unakielewa? Naona unazungumza kitu kimoja unajizungusha, sasa 2(3) na 2x 3 tofauti yake nini? mathematics formula ila uelewa ndo shida. .

I am too tired to argue, ila ingependeza tukafungua uzi watu wengi waliochangia hapa tukakutana ku discuss hesabu. Nimegundua kuna watu wengi tunapenda hesabu ila hatogombani tunaelekezana tu. .

Kwakweli Hisabati ni janga la taifa, watu hawajui kuwa msingi wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ni Hisabati kitu ambacho wazungu wametuacha mbali mno, kama 6÷2(2+1) inawatatiza watu vipi tukija kwenye Advanced branches za Hisabati ?!!, ipo haja ya kuweka mada zinazohusu Hisabati pekee ili kuwafanya watu wajifunze na wapende hili somo.
 
mie nadhani number ambayo iko nje ya bracket ina influence kilicho kwenye bracket. Hili nitalitolea mfano: 6÷2(a) = 6÷2a.

Angalia, 6÷2(a)=6÷2×a, kwa sheria ya Bodmas, 6÷2×a=(6÷2)×a=3a.
 
it is very interesting chatting math with you here, please anzisha group humu nitakuwa mdau.
Ila nikiwa nakupinga usiwe unapata stress
 
Kwakweli Hisabati ni janga la taifa, watu hawajui kuwa msingi wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ni Hisabati kitu ambacho wazungu wametuacha mbali mno, kama 6÷2(2+1) inawatatiza watu vipi tukija kwenye Advanced branches za Hisabati ?!!, ipo haja ya kuweka mada zinazohusu Hisabati pekee ili kuwafanya watu wajifunze na wapende hili somo.
Niliwatumia havard email ila wakijibu nitaweka hapa na kukutag,
 
6÷2(3) manake ukifungua mabano unazidisha, nikimaanisha kama 6÷2(a + b) itakuwa 6÷2a+ 2b sasa unafunguaje yenyewe bila kuizdisha na kilichondani opening bracket obvious unatakiwa ufungue kwa kuzidisha na sio kuweka alama ya kuzidisha x, bali unafungua kwa kuzisidha kilichondani. Tatizo liko hapa kwenye 2(3) watu wanachukulia kama hizi ni product mbili, wakisahau kuwa 6 ÷ (CONTECT 2x3); 6 unagawanya kwa 2(3) - maana yake 2(3) inajitegemea. .

mie nadhani number ambayo iko nje ya bracket ina influence kilicho kwenye bracket. Hili nitalitolea mfano: 6÷2(a) = 6÷2a.
Kumbe hujui unachokizungumza. 6÷2(a+b) ni sawa na 6÷2a+2b ??? Hujui hesabu
 
Nielekeze basi hapo nisipopajua maana huwezi jua vyote, ndio maana ya kufundishana au unasemaje Doctor of Mathematics?
 
Jibu sahihi ni 1 mnaong'ang'ania 9 inabid muongeze umakini ukiangalia nje ya mabano hakuna zidisha 6÷2(2+1) kwa maana hiyo ile hiki 2(2+1) ni kitu kimoja huwezi ukavitenganisha kwaiyo lazima umalizane navyo kwanza.

Ila ingekua 6÷2×(2+1) hapo jibu ni 9, kwa kufuata kanuni ya magazijuto
Lakini kwenye swali hiyo alama ya zidisha haipo kwamaana hiyo 2 iliyopo nje ya mabano inabeba vilivyopo ndani ya mabano.

1662406370493.png
 
Hebu na sisi tujaribu:

6÷2(2+1)= 6÷2×3, kulingana na sheria ya BODMAS, yaani MAGAZIJUTO lazima uanze na 6÷2 na ndipo jibu lake uzidishe kwa 3; yaani (6÷2)×3=3×3=9.
Mkuu kuondoa blacket n lazima umalzane na tendon la nje yake
 
it is very interesting chatting math with you here, please anzisha group humu nitakuwa mdau.
Ila nikiwa nakupinga usiwe unapata stress

There will be no stress at all knowing that, presently, there is no Math wallah and in the future there will be none-- No one will claim to have completed all Maths lessons therefore as we challenge one another I humbly take it as one way of studying Maths.
 
Mkuu kuondoa blacket n lazima umalzane na tendon la nje yake

Mkuu sio sawa, iwapo kwenye expression kuna operators signs zingine yaani ( +, au -) ndani ya brackets na nje kuna operators za ÷ na × huwezi kumalizana na tendo la nje ya bracket kwani ukifanya hivyo unakuwa umekiuka sheria ya BODMAS, Sheria hiyo inataka kwanza ushughulike na namba zilizomo ndani ya mabano kwakuwa namba hizo zinayo Operator sign ya +, yaani 6÷2(2+1), hapo unaiona Operator sign ndani ya mabano ni +, sasa utaanzaje kuzidisha namba za ndani ya mabano kwa 2 wakati ndani ya mabano kuna Operator sign ya + inayojitosheleza kutimiza sheria ya BODMAS ??! , Maana ya herufi B kwenye Bodmas ni; KWANZA SHUGHULIKA NA KILICHOMO NDANI YA MABANO,(usiingize ndani ya mabano kitu chochote kutoka nje ya mabano) ndani ya mabano unapata jibu 3 kwakuwa Operation ya + ndani ya mabano INAJITOSHELEZA kwa sheria ya Bodmas, baada ya hapo expression inakuwa 6÷2×3, kinachofuatia ni operation ya Division na hatimaye operation ya Multiplication ambapo jibu linakuwa 9.✔
 
Niliwatumia havard email ila wakijibu nitaweka hapa na kukutag,

Huko Havard tuma swali hilo kwa profs na sio kwa students, maprofs mbali na kujua wanayo experience kubwa kuliko wanafunzi.
 
Jibu sahihi ni 1 mnaong'ang'ania 9 inabid muongeze umakini ukiangalia nje ya mabano hakuna zidisha 6÷2(2+1) kwa maana hiyo ile hiki 2(2+1) ni kitu kimoja huwezi ukavitenganisha kwaiyo lazima umalizane navyo kwanza.

Ila ingekua 6÷2×(2+1) hapo jibu ni 9, kwa kufuata kanuni ya magazijuto
Lakini kwenye swali hiyo alama ya zidisha haipo kwamaana hiyo 2 iliyopo nje ya mabano inabeba vilivyopo ndani ya mabano.

View attachment 2346938

Taabu kwelikweli,

Hivi mtu akiandika 2a sio sawa na 2×a ??!!, kama ni sawa sasa utapingaje kwamba 2(2+1) sio sawa na 2×(2+1) ??!!, kumbuka katika Magazijuto "Ma" inakutaka ukokotoe kwanza kilichomo ndani ya mabano na sio kuingiza kitu ndani ya mabano kutoka nje kwani ndani ya mabano kuna Operator (+sign) inayojitosheleza kufanya operation ya + within the brackets.

Hivyo:-
6÷2(2+1)=6÷2×(2+1)=6÷2×3=(6÷2)×2=9. Hapa ni sheria ya Magazijuto ndiyo inayofanya kazi.
 
Taabu kwelikweli,

Hivi mtu akiandika 2a sio sawa na 2×a ??!!, kama ni sawa utapingaje kwamba 2(2+1)=2×(2+1) ??!!

6÷2(2+1)=6÷2×(2+1)=6÷2×3=(6÷2)×2=9. Hapa ni sheria ya Magazijuto ndiyo inayofanya kazi.
We jamaa hujui hesabu hafu mbishi kama shipa.
 
Back
Top Bottom