Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

Hili swali halina haja ya Harvard huyo tu anakaza fuvu

Usimzuie, mwache apeleke huko Havard na aonyeshe ushahidi wa kutosha na sio forgery kwamba majibu yametoka huko Havard kwa Maprofesa na sio wanafunzi kwani inawezekana pia huko wakawepo wanafunzi vilaza kama wewe na wakatoa jibu wrong.
 
There will be no stress at all knowing that, presently, there is no Math wallah and in the future there will be none-- No one will claim to have completed all Maths lessons therefore as we challenge one another I humbly take it as one way of studying Maths.
ww hutaki kujifunza ww ni unaubishi wa waha tangu mwanzo nimekuulza kwa akili za kawaida namba kwenye kugawanya jibu la kigawanyika linaweza kuwa kubwa kuliko kugawanyio???

Mfano hapo 6 inagawanya so jibu haliwezi kuzd sita hiyo ni akili tu ndgo lakini ww ung'ang'ania jibu ni 9

Okei me nataka uprove jibu lako

Find "a"

6 ÷ 2( 1 + a ) = 9 hakikisha jibu linakuja "a" basi jibu lako la 9 litakuwa valid.

Ukibisha na hapa basi mkuu ukapimwe akili na sema mm sijui hesabu Mungu nisaidie wanangu wasiwe kama mimi
 
Usimzuie, mwache apeleke huko Havard na aonyeshe ushahidi wa kutosha na sio forgery kwamba majibu yametoka huko Havard kwa Maprofesa na sio wanafunzi kwani inawezekana pia huko wakawepo wanafunzi vilaza kama wewe na wakatoa jibu wrong.
Hahaha bro hujui hesabu trust me....hili sio swali hata la kumpa A- level ni vile tu hatujuani ila ungekuwa mwanafunzi wangu ungekula Makwenzi ya kutosha
 
Umekosea, kitaalamu hayo mabano huwezi kuyafungua bila kuzidisha hiyo mbili iliyo nje ya mabano. Usisahau kuwa 2 ya nje ya mabano ni sehemu ya namba za ndani ya mabano kwasababu hakuna tendo ka kuzidisha hapo katikati. Kitaalamu hiyo mbili ya nje ya mabano ni common factor ya (2 +1). Inawezekana ulikimbia hesabu za factorization wewe. Scientific calculator iko sahihi
We Jamaa utafungushe mabano wakati Kuna tenda la kugawanya , na m bili ninazidishwa , ujui magazijuto au bodmas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosea, kitaalamu hayo mabano huwezi kuyafungua bila kuzidisha hiyo mbili iliyo nje ya mabano. Usisahau kuwa 2 ya nje ya mabano ni sehemu ya namba za ndani ya mabano kwasababu hakuna tendo ka kuzidisha hapo katikati. Kitaalamu hiyo mbili ya nje ya mabano ni common factor ya (2 +1). Inawezekana ulikimbia hesabu za factorization wewe. Scientific calculator iko sahihi.

Ngoja nikufundishe kidogo huenda ukaelewa zaidi
6÷2(2+1) mathematically si sawa sawa na 6÷2x(2+1). Moja jibu lake ni tisa na nyingine jibu lake ni moja. Hata kama ingetokea majibu yakafanana lkn solution ya kusolve ni tifauti kabisa..

Mfano
2(2+2) si sawa sawa na 2x(2+2) hata kama majibu ni sawa au yanafanana. Tazama uchanganuzi hapa chini.

Kwenye 2(2+2), mbili ya nje ya mabano ni common factor hivyo kufungua mabano huwa inazidishwa na kila namba ya ndani 2x2+2x2=8. Kwa maana nyingine hapo BODMAS hai apply kwasababu hakuna tendo la kuzidisha hapo.
Wakati kwenye 2x(2+2) kuna matendo zaidi ya moja so, lazima ua apply BODMAS na unaanzia ndani ya mabano inakuwa ni 2x4=8. Ingawa majibu yanafanana lakini hizo ni solutions mbili tofauti, na tofauti yake utaiona pale unapopata equation yenye matendo mengi.
Kama wewe ni mwalimu basi unatufershia wanafunzi , watu wa siku izi hesabu hamjui kabisa, napata wasiwasi kunakufoji matokeo, naona kabisa serikali iachane na watu waliopata 4 kwenda kusomea ualimu, ndo matokeo yake haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia, 6÷2(a)=6÷2×a, kwa sheria ya Bodmas, 6÷2×a=(6÷2)×a=3a.
Hizi hesabu za wapi wee mzee aiseee serious hujui hesabu na kamba ndio hivi basi hata swali langu huwezi kufind value of "a" nikuache tu na vilaza wenzio.
 
Wewe naye umewavuruga tu watu hapa. Wambie warejee hesabu za factorization za form two, wataelewa kuwa mbili ya nje ya mabano ni sehemu ya namba za ndani, imekuwa factorized au tunaweza ita ni common factor
Acha kuchanganya mafaili na kitu kama ichi.
6+2(2+1) hapa ndo unafanya factorize, .

6/2(2+1), hapa unaweza gawanya kwanza hafu ukafanya fctorization
3(2+1) unafungua mabano
6+3 unapata jibu 9
. Ukitumia bodmas
6/2*3
3*3
Jibu ni tisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6÷2(3) manake ukifungua mabano unazidisha, nikimaanisha kama 6÷2(a + b) itakuwa 6÷2a+ 2b sasa unafunguaje yenyewe bila kuizdisha na kilichondani opening bracket obvious unatakiwa ufungue kwa kuzidisha na sio kuweka alama ya kuzidisha x, bali unafungua kwa kuzisidha kilichondani. Tatizo liko hapa kwenye 2(3) watu wanachukulia kama hizi ni product mbili, wakisahau kuwa 6 ÷ (CONTECT 2x3); 6 unagawanya kwa 2(3) - maana yake 2(3) inajitegemea. .

mie nadhani number ambayo iko nje ya bracket ina influence kilicho kwenye bracket. Hili nitalitolea mfano: 6÷2(a) = 6÷2a.
Hiyo 2 hpo njee ni comon factor
2(2+1)= (4+2)=6

Means ni sehemu ya namba kwenye namba za mabano so huwezi iacha

Mzee hao jamaa serious hawajui math na hawasoma pure math a level hao ni vilaza wa arts na biashara walikimbia math ila walibahatika kusoma huo upuuzi wa bodmas primary na form one.

Tuwaouuze
 
ww hutaki kujifunza ww ni unaubishi wa waha tangu mwanzo nimekuulza kwa akili za kawaida namba kwenye kugawanya jibu la kigawanyika linaweza kuwa kubwa kuliko kugawanyio???

Mfano hapo 6 inagawanya so jibu haliwezi kuzd sita hiyo ni akili tu ndgo lakini ww ung'ang'ania jibu ni 9

Okei me nataka uprove jibu lako

Find "a"

6 ÷ 2( 1 + a ) = 9 hakikisha jibu linakuja "a" basi jibu lako la 9 litakuwa valid.

Ukibisha na hapa basi mkuu ukapimwe akili na sema mm sijui hesabu Mungu nisaidie wanangu wasiwe kama mimi

Kwa jinsi ulivyoiandika hivyo;

6÷2(1+a)=9, kwanza lazima ujue huo sio uandishi wa Algebra, juu ya yote ipo hivi:-

Let (1+a)=b---(1)

Hivyo 6÷2(1+a)=6÷2b=9

6÷2b=6÷2×b=9, kumbuka hii haikufuta sheria ya Algebraic representation hivyo kanuni ya BODMAS hapo ita apply, kwahiyo hiyo equation itakuwa katika form hii:-
(6/2)×b=9

6b=18, b=3, but b=(1+a) hivyo a=2✔
 
mkuuu jibu ni 9....scientific calculator yangu....
Huna akili na hujui hesabu pole....hapa nimegundua wajinga ambao hawajui hesabu wapo wengi na hawana hoja ila wanaita wanaojua hesabu wenye hoja kuwa hawajui hesabu (wanaamini wako sahihi) na sisi wataalamu ambao tunajitahidi kuwatoa makamasi kwenye ubongo tunawaona wajinga which is true hesabu hawajui
 
Hizi hesabu za wapi wee mzee aiseee serious hujui hesabu na kamba ndio hivi basi hata swali langu huwezi kufind value of "a" nikuache tu na vilaza wenzio.

Nataka nipime uwezo wako hapa kwenye hii Algebra ukiweza ndipo nitakaa na wewe tuanze kujadili Hisabati:-

3^2(1+x)-28×3^x+3=0, solve for x.

Hiyo alama ^ ni raised to power.
 
Taabu kwelikweli,

Hivi mtu akiandika 2a sio sawa na 2×a ??!!, kama ni sawa sasa utapingaje kwamba 2(2+1) sio sawa na 2×(2+1) ??!!, kumbuka katika Magazijuto "Ma" inakutaka ukokotoe kwanza kilichomo ndani ya mabano na sio kuingiza kitu ndani ya mabano kutoka nje kwani ndani ya mabano kuna Operator (+sign) inayojitosheleza kufanya operation ya + within the brackets.

Hivyo:-
6÷2(2+1)=6÷2×(2+1)=6÷2×3=(6÷2)×2=9. Hapa ni sheria ya Magazijuto ndiyo inayofanya kazi.

Kama 2a ni sawa na 2xa, je
6÷2a ni sawa na 6÷2xa?
Mfano, let a be 2+1
Then substitute kwenye expression
6÷2a na 6÷2xa, majibu yatakuwa sawa?
 
Kwa jinsi ulivyoiandika hivyo;

6÷2(1+a)=9, kwanza lazima ujue huo sio uandishi wa Algebra, juu ya yote ipo hivi:-

Let (1+a)=b---(1)

Hivyo 6÷2(1+a)=6÷2b=9

6÷2b=6÷2×b=9, kumbuka hii haikufuta sheria ya Algebraic representation hivyo kanuni ya BODMAS hapo ita apply, kwahiyo hiyo equation itakuwa katika form hii:-
(6/2)×b=9

6b=18, b=3, but b=(1+a) hivyo a=2[emoji818]
We jamaa acha ujinga 6 ÷ 2b= (6/2)xb ...
aiseee hiyo "b "
kwann umeiacha njee kwann isiwe (6/b) x2 .,.. ngoja nikuache kwaheri huo muda wa kupoteza kwa mtu wa aina yako kwenye hesabu sina
 
Nataka nipime uwezo wako hapa kwenye hii Algebra ukiweza ndipo nitakaa na wewe tuanze kujadili Hisabati:-

3^2(1+x)-28×3^x+3=0, solve for x.

Hiyo alama ^ ni raised to power.
Mkuu uelewa wako ni mdogo mno kwenye hesabu binafsi kubishana tena na ww ni kujidhalilisha....6÷2b= (6/2)x b serious niendelee kujadili na ww.
 
Kama 2a ni sawa na 2xa, je
6÷2a ni sawa na 6÷2xa?
Mfano, let a be 2+1
Then substitute kwenye expression
6÷2a na 6÷2xa, majibu yatakuwa sawa?

Hivi wewe umesoma Algebra za wapi??, hivi hujui kwamba 2a=2×a???, hivi hujui kwamba example, a÷b×c= (a÷b)×c kwa sheria ya Bodmas??, kama hujui hilo basi nakusihi rudi tena kajifunze wala usione aibu na kama wewe.ndiye mwalimu wa Hisabati kwa watoto wako au wanafunzi basi wenye watoto wameliwa.
 
Mkuu uelewa wako ni mdogo mno kwenye hesabu binafsi kubishana tena na ww ni kujidhalilisha....6÷2b= (6/2)x b serious niendelee kujadili na ww.

Hatubishani ndugu, hapa tuaeleweshana tu,

6÷2b hii ni sawa na 6÷2×b, labda ukatae kwamba 2b sio 2×b, ni hivi ungeandika 6÷(2b), hapo ndipo unapata 6/2b, kuna tofauti kati ya 6÷2b na 6÷(2b) kwani 6÷(2b) ni sawa na 6÷(2×b).

Ukijua Hisabati raha sana. Alhamdullilah.
 
Back
Top Bottom