Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #21
Mkuu sisi ni mara chache sana..Vijana na nyie kupakua mizinga ya wazee acheni, msipoacha asali zenu nazo zitalambwa na wazee
Pole sana kwa yaliyokukutaKijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.
View attachment 3009782
Pole, unabweka hadi umesahau unachoandika.Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.
View attachment 3009782
Daaah mkuu unachofanya sio haki sio haki kabisa..Pole, unabweka hadi umesahau unachoandika.
Tunajiheshimu sana. Shida wanatuomba sana hela. Tukiwakopesha hawalipi badala yake wanajichekesha chekesha mbele yetu na kusema waume zao hawatuma hela ili warejeshe. Kifuatacho, tukitupa neno tu, hao washavua hadi nguo za ndani. Tufanyeje?
Tunzeni wake zenu kwa mahitaji ya miili, mioyo na akili. Unahama nyumbani miezi sita hujatuma hata mia wala kurudi. Unategemea nini?
Wengine mpo mazingira ya nyumbani na wake zenu, lakini hamlali na wake zenu kisa mko busy na biashara kumbe michepuko tu. Wake zenu waliwe na nani kama siyo sisi na wahuni wenzenu?
Jifunzeni kuishi nao kwa akili siyo kupiga kelele.
Tumewaachia mashangazi mkahudumiwe mpige mashine bure mlelewe, sisi tumeamuwa kuvitunza vitoto tunajuwa vizuri mahitaji yao hasa ya kipesa.Vijana tunajikaza kisabuni kutafuta chochote kitu
Wenyewe wanajua ku pita nao tuu..
Mwaka huu tutapigana
Tutatukanana aiseee
Dr matola wewe siku hizi unashida.Tumewaachia mashangazi mkahudumiwe mpige mashine bure mlelewe, sisi tumeamuwa kuvitunza vitoto tunajuwa vizuri mahitaji yao hasa ya kipesa.
Nakushauri kuwa mpole tu au tafuta mnyonge wako na wewe umgongee.
Newton 3rd law.Mi mzee akila kitumbua changu na chake kitaliwa tu ama mke wake au binti zake, hali ni mbaya kwa kweli inakera
Mzee mpumbavu kama wwTumewaachia mashangazi mkahudumiwe mpige mashine bure mlelewe, sisi tumeamuwa kuvitunza vitoto tunajuwa vizuri mahitaji yao hasa ya kipesa.
Nakushauri kuwa mpole tu au tafuta mnyonge wako na wewe umgongee.
Unapoteza energy yako bure, kipindi sisi tunakuwa mtoto wa kiume anapewa pesa kwao na wazazi wake na mtoto wa kike anapewa pesa kwao na wazazi wake mkikutana nyinyi ni mapenzi tu ndio yanawaunganisha na si kitu kingine.Dr matola wewe siku hizi unashida.
Nina uhakika simu kashika mtu mwingine sio wewe.
Sisi hao mashangazi ni kitu kisicho shangaza ila sasa linapikuja suala la kuweka compitation na kijana ambaye unajua kabisa yupo anajitafuta hiyo sio fair kabisa.
Dr niseme tu inabidi ifikie wakati mjiheshimu la si hivyo tutakuja kufanya jambo la ajabu juu yenu
Vijana wengi wanajikaza kisabuni ila roho inawauma.
Mi leo nawasemea
Hawa wazee kuna mda tutawapiga pipe..Unakuta mzee ananyemelea kipusa cha kijana wa watu ili aruke nacho. Binti yuko sawa na mabinti zake lakini zee la nyeti linasarandia lile. Mi huwa nawatia jambajamba wazee wenye tabia mbaya za namna hii. Kama vipi mkono unapigwa tu
Vipi kijana maisha yamekupiga mpaka unatukana mtu usiyemjuwa mtandaoni?Mzee mpumbavu kama ww
Yaani ni mtaalamu wa afya lakini una maneno ya kuchoma choma hivi unaweza kushauri wewe.Unapoteza energy yako bure, kipindi sisi tunakuwa mtoto wa kiume anapewa pesa kwao na wazazi wake na mtoto wa kike anapewa pesa kwao na wazazi wake mkikutana nyinyi ni mapenzi tu ndio yanawaunganisha na si kitu kingine.
Sasa hivi ni tofauti, vitoto majukumu ya wazazi wao wamehamishia kwa masponsor na wewe kijana unayejitafuta huwezi kumeet demand zake unajitafutia stress bure tu.
Dunia imeshaavaa kimini hii, kama vipi wewe kataa ndoa tu, ndoa ni hatari kwa afya yako.
Hawa wazee sasa hivi kuna kampeni inataka kuja ya kutokomeza wazee wa hovyo.Wazee wanatuharibia sana pesa mingi kazi kidogo hakuna kukesha