Kuna wakati natamani kuanzisha project yangu ila sidhani kama ntaifurahia sana hiyo gari.Yule mhuni wa Arusha Speedometer yake ya Aristo ni 180km/h ila ikipigwa speedgun top speed inasoma 300km/h.
Mambo ya modes hayo.
Kufika top speed ya 300km/h sio mchezo kabisa kabisa,hata hizi Germany machines nyingi zina speedometer ya 260km/-300km/h lkn unakuta top speed yake ya ukweli ni 240-250km/h hapo ndo mwisho.
Jamaa zile chuma zake hakuna subaru inang'aza pua 😂 kuna mistubishi Evo ndio alikuwa mtemi kwa wote.Yule ni mwamba,mbali na hiyo Aristo yenye 2gzte ana ile Chaser tourer nayo ni hatari,cha kushangaza kwa muonekano ni gari ya kawaida ila sokoni bei inagonga usd 20,000 bila cif
Imagine upo 170kph.Hii ya trekta isiyo na taa wala reflector nyuma nilikutana nayo mida ya saa moja usiku karibu na Nangurukuru, halafu upande wa pili naona taa za chuma inakuja. Siku ile nilikanyaga break nikaja kusimama kama mita 5 hivi kutoka kwenye trekta. Bahati nzuri nilikiwa just 100-120kph. Sipendi kabisa safari za usiku. Nasafiri usiku ikibidi tu na hapo speed mwisho 120.
Project car yako ulikua unafikiria iwe ipi mkuu?Kuna wakati natamani kuanzisha project yangu ila sidhani kama ntaifurahia sana hiyo gari.
Sio kwamba wanawasha ila ni gari mbovu hazifai kuingia barabarani mchana.Wanao washaga taa moja hawana akili nzuri
Zile chuma za yule jamaa mpk GT-R na Evo kutoka Kenya zote zilishindwa kufua dafu mbele yake.Jamaa zile chuma zake hakuna subaru inang'aza pua 😂
Ana sleek shift gears kuliko hata Automated gearbox!Zile chuma za yule jamaa mpk GT-R na Evo kutoka Kenya zote zilishindwa kufua dafu mbele yake.
Hatari sana.. zileSio kwamba wanawasha ila ni gari mbovu hazifai kuingia barabarani mchana.
Usiku ndo wanazipeleka porini kuchukua mazao.
Kucheza na 50km/h zamani ilikuaga inanitesa sana,baadae ikawa ni mwendo wa cruise control nai set hapo kwny 45km/h then nakula maisha taratibu tu.Duh hawa jamaa wana maswali ya ajabu. Mimi 50kph huwa napiga 50kph basi hapo kuna wanyonge wenye fujo wanakupita ikiisha 50kph dakika mbili nyingi naanza kutafuna mmoja mmoja
Acha tu.Imagine upo 170kph.
Utaita maji mma.
Nikisimamishwa na polisi wa kike namalizana nao vizuri tu.Mwenzake Bavaria akimpita traffic aliyemsimamisha nyuma anaenda mbele anageuza gari anamrudia kumsikiliza [emoji16] [emoji16]
Haha.Bavaria ni kijana mtiifu hana shida na mtu [emoji23][emoji23][emoji23] ye akiambiwa alipe analipa tu! Akiwapita anatia cha uani kuwafuata.
Nanunua kagari cha toyota halafu nakajaza mods.Project car yako ulikua unafikiria iwe ipi mkuu?
Hahah wa mjini kweli hawakimbiliki😁Haha.
Hao wa mjini sio highway.
Hawa jamaa wanapaswa kulazimishwa kuweka marker lights,huwa zinasaidia sana kujua mwanzo na mwisho wa malori kuepusha ajali.Sio kwamba wanawasha ila ni gari mbovu hazifai kuingia barabarani mchana.
Usiku ndo wanazipeleka porini kuchukua mazao.
Umbali mrefu tutakutafuna na stock car zetu hutaamini...Nanunua kagari cha toyota halafu nakajaza mods.
Ila sipendi hizi drag races za umbali mfupi kama za masinga tt.
Nataka mashindano ya umbali mrefu kama dar moshi hivi.
Na sio gari ntakuwa naitumia mara kwa mara. Naifanya tu kama hobby halafu naiweka tu huko ndani.
Siku nikijisikia kuwapigia kelele majirani ndo nakawasha.
Unaweza ukajikuta upo fresh lakini gari fulani likakufanya mwenda wazimu,mlio wa PORSCHE ni hatari sana-Una encourage speeding hata kwa kuusikia bila kuimiliki.Ule mlio wake wakati inaingiza gia hata nikiusikia kwenye TV akili inapata wehu kabisa.Mungu aniepushie nisiimiliki manake it will kill me,kila mlio wa gia nikiwasikia wengine wanaendesha kwangu naupenda zaid,manake itanilazimu kufika 7th gear nisikie flavour zote.Umbali mrefu tutakutafuna na stock car zetu hutaamini...
Na mpaka leo hajaipatia dawa ile Evo na kabla hajapumua kuna mwamba mwingine toka Mwanza nae kaingiza Evo matata kuliko ile ya kwanza,ni mapenzi na ujana kwa sheria hizi JMT na aina ya barabara zetu sioni sehemu ya kumwaga moto kuzidi 240kphJamaa zile chuma zake hakuna subaru inang'aza pua 😂 kuna mistubishi Evo ndio alikuwa mtemi kwa wote.