Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sometimes nashukuru similiki bastola.
Pole sana Mkuu kwa kukoswakoswa na ajali bora hata ungejisogeza bondeni uwaachie barabara kabisa kwani alioa wewe sio size yake kwa vile gari yako ina umbo dogo kuliko Lori
na ungekuwa na bastola na ukamfukuza mwenye Lori ungewekwa Kituoni Kabuku mambo yangeharibika kabisa.
Kukaa barabarani ni elimu tosha, mm kuna jamaa alikula wrong site kwenye mzunguko wa keep left akanivaa na kuharibu gari yangu, Traffic wakaja wakamshauri akanitengenezee nikakubali kufika gereji bado alishindwa nikamalizia mwenyewe bora Uhai Mkuu
 
Pole mazee! Barabara zetu ni changamoto sana.
 
Leo imetokea jioni njia ya mbagala-kongowe

Roli lililobeba lami lilikua linashusha mlima likafeli breki..chini ya mlima kulikua na gari tatu zinapanda ya kwanza tank la mafuta,ya pili canter ya mafuta pia na canter ya kawaida ....Mwenye roli la lami baada ya kuona breki zimefeli akawasha taa fulu ,,yule mwenye tank akawa ameshamsoma akampisha lakini akawa amechelewa akagongwa uso kwa uso ila upande wa abiria na pia lile lori zikavamia na gari za nyuma zile canter likaanguka hapo ...so ajali ya gari nne kwa wakati mmoja.

Nb:tetesi zinasema wamekufa wawili,,dereva na utingo wa lori la lami waliruka
Your browser is not able to display this video.
 
Bongo bhana ajali za ajabu ajabu tu
 
Sawa kabisa Bora uhai mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…