Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hawajiulizi kwanini ni Crown/Mark X/Brevis zinazoendeshwa na vijana tu.....
 
Duh!Nimeelewa.mimi binafsi ni mtu wa kupenda mabio hata baiskel huwa napenda ikimbie to the maximum sembuse gari.raha ya kitu kitembee bhana.nimesikia ushauri wenu ngoja nijichange nichukue ka passo kama jamaa alivyopendekeza.
Kuwa makini tu. Nenda mbio ila angalia sehemu unazokimbia,ovateki kwa umakini. Usijiachie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…