Hiyo njia nimepiga shimo mpaka roho ikaniuma.Mashimo ni mengi, juzi niliondoka dar 12 jioni nimeingia Arusha 03.00, barabara mbovu sana.
Kuna matuta hayana alama ya zebra, kuna sehemu za barabara lami imechubuka...yaani ni hatari hasa ukiwa na gari ya chini.
Mara kadhaa nilijibamiza kwenye matuta yasiyo na alama au mashimo...kilichonisaidia gari imeinuka.
Ni hatari kutembea usiku kuja kaskazini
Lodge gani nzuri....iko kwenye ratiba
I miss you.Usijali, sisi chawa wake tutakupa ka hint ka picha tukiwa tumeweka vishoka ndingani.[emoji23][emoji23]
Msata Segera. Maeneo ya Mwanga.Aisee asante kwa taarifa hii, niliona kipande cha same-himo kina changamoto hizi. Kwingine wapi?
Okay thanks...last time nilikaa Mullers mountain lodge...it was an amazing experience!Mambo view eco lodge.
Not super fancy but very traditional. Angalia Google map, call for reservations and ask for a discount. Kuna rooms with the view of the valley.
Wahudumu wanaweza kukutafutia kuku wa kienyeji wakakutengenezea.
Napenda sana safari za usiku. 90% ya safari zangu huwa ni usiku. Na ninakiwasha haswaaa...Oh mashimo yameongezeka? Na usiku kuona mbali ni issue. Mara ya mwisho nilisafiri jioni nikapata msala saa 12 ndio ilikuwa pona yangu vinginevyo ningelala barabarani hadi asubuhi. Sisafiri tena usiku.
[emoji23][emoji23]Mkuu wewe unaenda popote ambapo lift itaelekea? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imenichekesha sana
Safari ya usiku haijawahi kuniboaSafari ya usiku inachosha na kuboa sana.
October tulienda Moshi.
Kuna wakati mpaka nikatamani nipaki nilale sema tulikuwa gari mbili tunaongozana.
Tulitoka Dar saa 9 mchana. Tunafika Bagamoyo saa 11. Foleni yake si mchezo. Moshi tuliingia saa 5 usiku. Ila niliionea huruma gari.
Barabara ni mbovu sana hasa kipande cha Segera Msata.
Au sijui niende hukoMambo view eco lodge.
Not super fancy but very traditional. Angalia Google map, call for reservations and ask for a discount. Kuna rooms with the view of the valley.
Wahudumu wanaweza kukutafutia kuku wa kienyeji wakakutengenezea.
Acha uchoyo mkuuDar es Salaam to Mwanza.. Crown [emoji1][emoji1].. hamna lift.. napuliza tu fegi na redbul yangu.
UtulivuUnainjoi nini usiku na huoni chochote?
Na kama napuliza je?Jamaa hapendi kukwaza mtu na mifegi yake