Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hiyo njia nimepiga shimo mpaka roho ikaniuma.Mashimo ni mengi, juzi niliondoka dar 12 jioni nimeingia Arusha 03.00, barabara mbovu sana.
Kuna matuta hayana alama ya zebra, kuna sehemu za barabara lami imechubuka...yaani ni hatari hasa ukiwa na gari ya chini.
Mara kadhaa nilijibamiza kwenye matuta yasiyo na alama au mashimo...kilichonisaidia gari imeinuka.
Ni hatari kutembea usiku kuja kaskazini