Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hata mimi chuo ilinipa shida maana nilikuwa sioni pale mbele hasa kama nikikaa siti za nyuma! Sasa unakuta mwalimu anaenda fasta anapeleka tu slides hana habari basi nikawa naelewa hivyo hivyo kwa kumsikiliza tu siyo lazima niandike!
 
Nimepitia uzi mzima,hakuna aliyepiga trip ya Mbeya,,
Halafu sijaona aliyeanzia trip Yake Mbeya,,ina maana Mbeya wote hatuna magari mwee[emoji38].

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa wenyeji wa huko hawapo kwenye huu uzi! Binafsi naona mikoa ya southern highlands ndiyo ina sehemu nyingi sana za kutembelea!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu hii ni noma sana aisee, Nakuvutia picha mzee jinsi ulivyotaka kutoka na vioo.
 
Duh umetisha unataja gari kwa code za kitaalam kabisa!
 
Maisha ndivyo yalivyo....[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
Kuna mchizi halafu ni mwanajeshi, alinunua Porte, jamaa alikuwa anavimba..

Nikasema " Huyu akipewa Prado, atagonga magari ya watu makusudi "..
 
Nimepitia uzi mzima,hakuna aliyepiga trip ya Mbeya,,
Halafu sijaona aliyeanzia trip Yake Mbeya,,ina maana Mbeya wote hatuna magari mwee[emoji38].

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya nimepiga sn trip nilishatoka dom saa 12 jion saa 7 ucku nipo mby afu nkaunga mpk chunya.pale town kituo ni savoy g house mafiat mwendo wa [emoji200][emoji482]
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
Kuna mchizi halafu ni mwanajeshi, alinunua Porte, jamaa alikuwa anavimba..

Nikasema " Huyu akipewa Prado, atagonga magari ya watu makusudi "..
Wabongo tuna mambo ya ajabu sana. Anyway sishangai kuna watu wao hununua gari ilimradi tu wafike wanakoenda wakiwa wamekaa ndiyo maana wanahusudu namba.
 
Hata mimi siyakubali,
Hata sababu sina , ila @28 years of service , full aircon , jamaa apewe tu hongera kwa kulitunza.
Mkuu Siri moja ya Nissan Patrol ukiwa off road ni comfortability. Ukiendesha L/Cruiser Hardtop, Defender au Pajero huwa hazina utulivu kama wa Nissan.

Hongera zimfikie mmiliki kwa kutunza, Nissan ni gari ya mjapani ambayo haitaki janja janja kama Toyota.
 
Khaa!

Asante kwa ma upendo kama yote
like za kumwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…