Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hata mimi chuo ilinipa shida maana nilikuwa sioni pale mbele hasa kama nikikaa siti za nyuma! Sasa unakuta mwalimu anaenda fasta anapeleka tu slides hana habari basi nikawa naelewa hivyo hivyo kwa kumsikiliza tu siyo lazima niandike!Hata mimi nilikuwa mgumu sana kuchongesha miwani,,ila niliitafuta mwenyewe.
"Unaingia darasani Mwalimu anatiririka tu ubaoni,unasikia tu"hii inakuja hivi"hapo wenzio wanatikisa vichwa kuitikia,wewe unabana macho ili uone na kuona huwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app