Majesta Mean MachineRAHA YA KUSAFIRI NAKUONA WANYAMA HAO KWEUPEE. TANZANIA YETU NI TAMU
View attachment 1845651
View attachment 1845652
View attachment 1845653
View attachment 1845654
View attachment 1845655
View attachment 1845656
View attachment 1845657
View attachment 1845658
View attachment 1845659
View attachment 1845660
View attachment 1845667
View attachment 1845668
View attachment 1845669
View attachment 1845670
Patisipanti wa kwanza si admin au mie mgeni huko
Hii ni kwa wewe unavyomwaga moto mkuu.Dar to Dom ni kama 100,000. Dodoma to mwanza weka 150,000. Mafuta yatabaki bila shaka mengi tu
Hichi kipande hichi.....
Halafu mtu anakuambia endesha mwisho 120Lawama hizi....
The HorizonISO M.CodD kuna sehemu uliitaja Bagamoyo mlienda kupata misosi inaitwaje? Gari inaniambia imechoka kukaa mjini [emoji23]
Lawama hizo 😀😀😀Mzee wa kazi naona hii itarahisisha shughuli zako za kujenga mahusiano imara na raia mbali mbali humu 😂
😒😒😒
Kabla ya hii trip nimesolve taa zote za dashboard.Nimeenda garage nimefuatlia kuna mlio unatoka kwenye wheel bearing jamaa kaniambia nibadili wheel bearing,kwasasa sina mpango huo.
Chini ya usukani kuna reset button yake ukiibonyeza na kuishikilia kinazima,sasa nasubiri kitawaka tena lini.
Ila katarudi tena kuku sabahi 😀😀😀😀Kale kajamaa nimekazima siku ya tatu Leo kamepotea
Mwamba wa barabarani alie karibu na samaki au kuku kuku kuna code hapa 🙃🙃
Tutake radhi WajerumaniKabla ya hii trip nimesolve taa zote za dashboard.
Check engine ilikuwa kwasababu ya post-cat heated oxygen sensor. Gari ilivyokuwa chini inaonekana ilipiga ardhi pale connector harness ya sensor pakapasuka na waya kukatwa. New sensor nikaclear code kwa kale ka mashine kangu ka $10 check engine haijarudi tena
Fuga zina ujinga mmoja kukiwa na weakness yoyote kwenye braking system ina disable traction control, wanaita VDC (Vehicle Dynamic Control) na kuwasha taa za VDC OFF na SLIP. Ikiwa kwenye hii situation ukikanyaga hovyo linadrift na kuteleza, though its fun [emoji23][emoji23]. Nilicheki pads ziko fresh, kumbe mafuta ya breki yalikuwa nusu - hata sio low. Kujazia mpaka kwenye max taa zikazima after some driving.
Gari ikiwa na clean dashboard inaleta imani kidogo, sio christmas lights kama za wajerumani Cc Extrovert
Huwa unazingua weweee😀😀😀😀☝🏾 ...... I am...!
Huwa unazingua weweee😀😀😀😀
🤭🤭🤭Aabeeehhhh....! 😜.
Nasubiria code ya nyama na kuku kuku 😋😋😋😅.
(I know its men talk...😜).
Aisee hongera. Nilibahatika kuchungulia BMW 1 series, Mercedes E350, na Range Rover; aisee kwa kuonya tu hazijambo. Fault messages kwenye hiyo information screen na vitaa taa kibao kwenye dashboard
Nafikiri gari za ulaya hazitaki shurba zisizo na msingi, na kama ukiipa shurba moja kwa moja kaifanyie service ya kueleweka. Tofauti na hapo ni swala la mda .. ikichachamaa utaona ni gari sumbufu . Lilee kama yao flani hivi utafurahia mwenyeweAisee hongera. Nilibahatika kuchungulia BMW 1 series, Mercedes E350, na Range Rover; aisee kwa kuonya tu hazijambo. Fault messages kwenye hiyo information screen na vitaa taa kibao kwenye dashboard