Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ISO M.CodD kuna sehemu uliitaja Bagamoyo mlienda kupata misosi inaitwaje? Gari inaniambia imechoka kukaa mjini [emoji23]
The Horizon

G283+8W Bagamoyo

Ni ndani ndani panafaa kujichimbia for a day. Kuna mchezo wa kulenga shabaha za chupa kwa hizi airguns... angalizo unaweza ukachoma laki kwenye hako kamchezo, kako addictive sana. Na risasi moja ni 300 [emoji23][emoji23]

Kuna island mnapanda boti for 10 minutes hivi kuifikia... ni island nzuri na no one lives there. Beach zake safi sana.
 
Nimeenda garage nimefuatlia kuna mlio unatoka kwenye wheel bearing jamaa kaniambia nibadili wheel bearing,kwasasa sina mpango huo.
Chini ya usukani kuna reset button yake ukiibonyeza na kuishikilia kinazima,sasa nasubiri kitawaka tena lini.
Kabla ya hii trip nimesolve taa zote za dashboard.

Check engine ilikuwa kwasababu ya post-cat heated oxygen sensor. Gari ilivyokuwa chini inaonekana ilipiga ardhi pale connector harness ya sensor pakapasuka na waya kukatwa. New sensor nikaclear code kwa kale ka mashine kangu ka $10 check engine haijarudi tena

Fuga zina ujinga mmoja kukiwa na weakness yoyote kwenye braking system ina disable traction control, wanaita VDC (Vehicle Dynamic Control) na kuwasha taa za VDC OFF na SLIP. Ikiwa kwenye hii situation ukikanyaga hovyo linadrift na kuteleza, though its fun [emoji23][emoji23]. Nilicheki pads ziko fresh, kumbe mafuta ya breki yalikuwa nusu - hata sio low. Kujazia mpaka kwenye max taa zikazima after some driving.

Gari ikiwa na clean dashboard inaleta imani kidogo, sio christmas lights kama za wajerumani Cc Extrovert
 
Narudi now nimetoka kutoa carbon VW
IMG_20210710_210642_1.jpg
 
Tutake radhi Wajerumani
IMG_20210526_185642.jpg
IMG_20210526_185642.jpg
IMG_20210526_185642.jpg
 
Aisee hongera. Nilibahatika kuchungulia BMW 1 series, Mercedes E350, na Range Rover; aisee kwa kuonya tu hazijambo. Fault messages kwenye hiyo information screen na vitaa taa kibao kwenye dashboard
Nafikiri gari za ulaya hazitaki shurba zisizo na msingi, na kama ukiipa shurba moja kwa moja kaifanyie service ya kueleweka. Tofauti na hapo ni swala la mda .. ikichachamaa utaona ni gari sumbufu . Lilee kama yao flani hivi utafurahia mwenyewe
 
Back
Top Bottom