Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mtaani wanadanganya D4D inakimbia sana, juzi Moro-Dar huyu ndio alinifanya nivunje ahadi yangu ya kutembea chini ya 140kph, aliniletea dharau eneo hatarishi, alivyopita niliungurumisha 4GR nikampita kama kasimama!
D4D na mikonge nilishaitoa kwenye list ya gari za kufanya nazo ligi.

D4D za RAC hizi zina vurugu sana njia ya Dar Dom wanapojenga reli yao. Ligi nao haikai hata dakika 5 nishapotea, nikajua hamna magari mle.
 
D4D na mikonge nilishaitoa kwenye list ya gari za kufanya nazo ligi.

D4D za RAC hizi zina vurugu sana njia ya Dar Dom wanapojenga reli yao. Ligi nao haikai hata dakika 5 nishapotea, nikajua hamna magari mle.
Ha ha ha wewe unawajua vizuri, mimi siku nyingi najua hamna kitu hapo ila nahisi wao wenyewe hawajui sasa akileta dharau ndio unamuonesha kuwa hajui kama hajui.
 
Yale madude yana mzuka sana...[emoji39][emoji1][emoji1]
Ndiyo maana tukilia tozo, wao hawawazi..
 
V8 lina vibe Moja hatari, mwaka juzi nilikuwa mkoani jamaa yangu Gereji yake huwa anapiga service gari za serikali na taasisi mbalimbali. Kuna Moja ilikuwa imeua nozzles baada ya kufunga akanipa tufanye test V8 inaleta burudani kwa dereva na abiria.

Ile ya Diesel yenye 1Vd-fte kila ukikanyaga inaleta hamasa na kwenye mashimo unapiga kwa kujiami ndio gari pekee linalopiga shimo na ukimaliza safari huwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…