Huyo jakata amepita ila naona hajawahi piga zile route march za km 50 na afande anawakazia msibebe hata maji achilia mbali pesa ya kununua chochote njiani hadi mrudi kikosiniNyie hamjaenda JKT ndio maana mnaona haiwezekani.. safari ni safari
Umeona eh mtu anavuka zake from Tunduma to Nakonde kwa miguu na kiborder pass chake tu huyooo anaingia kupuyanga kwenye nchi ya watu akimaliza anarudiUnatembea, alafu hujui tu. kuna watu wana kila kitu na kuna wasio nakila kitu, ila hupendelea safari za miguu kutoka mkoa hadi mkoa au nchi hadi nchi for fun
Hahaaa wewe sasa naona umeamua tu kubishaYaani atembee for fun na huku Nyumbani hata kula ni ya shida!?!
Njiani anakula nini?
Kwamba mtu anatoka tz hadi Malawi kwa mguu?
Labda ile Malawi ya kwetu ambayo mtu akivuka mto tayari yupo Malawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende 🙈😄Vipi twende mogoroto ?
Wanaosafiri wote ni matajiri ila si matajiri wote wana hobby ya kusafiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano kuna tours company nyingi zinakuaga na offer kila mwisho wa mwaka, ukiangalia ni bei ndogo kwenda labda Ruaha, au hata kitulo ukashangae maua au uende Rubondo ukachome samaki fresh achana na habari ya roadtrip kweli ukijipanga unashindwa hata hiyo?
Mtu hadi ameweza kulipa nauli ya kwenda Moshi na kurudi au kujaza mafuta kwenye gari huyo tayari ni tajiri.Mmh uwezo wa kufanya mambo gani
Mimi kwangu utajiri ni kuwa na pesa za kukimu yale mahitaji yote muhimu ya binadamu na bado zikabaki nyingine za kutosha kufanya maendeleo na kuweka akiba (na hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya kiuchumi tukiachana na hizi ngonjera za utajiri wa moyo sijui nafsi)
In short kwangu mimi tajiri ni yule mtu ambaye pesa zake siyo za mawazo
Sasa wewe mwenzetu unachotaka kutuaminisha hapa ni kwamba hata mtu akipata nauli tu ya kuweza kumfikisha Mbeya au Moshi na kurudi akasema na yeye asafiri aoshe macho kidogo basi tayari ni tajiri
Wakati unaweza kukuta amesacrifice vitu kibao hapo ambavyo ni vya muhimu ili tu kujichanga hadi kufikisha hiyo hela kusudi tu na yeye asafiri sababu kusafiri ni hobby yake
Mimi kwangu huyo siyo tajiri maana hela zake ni za mawazo na hata mimi kama nina hela za mawazo kama hizo siwezi kujihesabia kuwa ni tajiri na hata mtu akisema mimi ni tajiri nitakuwa naona kama ananitukana tu
Kwahiyo siyo kila anayesafiri ni tajiri
Ndivyo mnavyojidanganya[emoji38][emoji38]Huyo jakata amepita ila naona hajawahi piga zile route march za km 50 na afande anawakazia msibebe hata maji achilia mbali pesa ya kununua chochote njiani hadi mrudi kikosini
Ndiyo maana nimesema labda trip ya kuvuka ule mto songwe ambao dakika 2 tu unafika ng'ambo ambayo ni Malawi.Umeona eh mtu anavuka zake from Tunduma to Nakonde kwa miguu na kiborder pass chake tu huyooo anaingia kupuyanga kwenye nchi ya watu akimaliza anarudi
Yaani unatamka elfu 11 tu!Hahaaa wewe sasa naona umeamua tu kubisha
Mtu anatoka pale Songwe border hadi Mwenitete au Karonga kwa TZ11 tu siyo lazima apande vile visienta vyao (mind you Karonga ni takriban km 50 kutoka border usije ukadhani ni kama unatoka Nzovwe hadi Iyunga tu hapo)
Kula mtu lazima ule tu hata usiposafiri kwahiyo hapo usiweke kula kana kwamba ni expenses ambazo mtu anaincur akiwa anasafiri tu
Halafu kwani haukumsikiaga yule jamaa aliyesafiri kwa takriban wiki mbili from Mbeya to Dar kwa miguu kuja kucheki mechi ya Simba na Yanga na unaambiwa njiani kuna watu walikuwa wanataka hadi kumpa lift ila aliwakatalia
Na mikumi pale pale unavyopaona alikatiza kwa miguu na hakudhurika maana nimeona kuna mahali umeshangaa mtu kukatiza mikumi kwa miguu
Nashusha siti ya abiria, ina recliner / ottoman seat. Kwahyo mpaka miguu inapata pa kupumzikia.Unashushaga siti au unahamia siti za nyuma??
Priorities ina matter sana. Mf, me sina hela ila hii week nimepunguza anasa kwenye mlo nataka nikanunue flower vessels.Hela kkishakuwa ya mawazo mtu hawezi kuiunguza tena kwenye nauli.
Yaani kula ale kwa shida,halafu ajilipue tena kuchoma nauli eti anaenda kutembea!.
Huwezi kuwa na priority ya safari kama hauna hela.Priorities ina matter sana. Mf, me sina hela ila hii week nimepunguza anasa kwenye mlo nataka nikanunue flower vessels.
Punguza ubishi usio na tija aunt subaru [emoji23]
Priorities ina matter sana. Mf, me sina hela ila hii week nimepunguza anasa kwenye mlo nataka nikanunue flower vessels.
Punguza ubishi usio na tija aunt subaru [emoji23]
Kwenda, kurudi,kiingilio na nauli ni sh ngapi jumla?Nauli kwenda na kurudi, na kiingilio ambacho hakihitaji uwe tajiri kukimudu.
Ushauri kaka kabla jamaa yangu hajakaa humo,kaiona sehemu iko sokoni,safari na comfy imo humo au hamna kitu?🙂🙂 hapa nachagua bugatti centodieci, hii tunahamia kabisa kwenye league na ndege zinapotaka kupaa