Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unatembea, alafu hujui tu. kuna watu wana kila kitu na kuna wasio nakila kitu, ila hupendelea safari za miguu kutoka mkoa hadi mkoa au nchi hadi nchi for fun
Umeona eh mtu anavuka zake from Tunduma to Nakonde kwa miguu na kiborder pass chake tu huyooo anaingia kupuyanga kwenye nchi ya watu akimaliza anarudi
 
Yaani atembee for fun na huku Nyumbani hata kula ni ya shida!?!
Njiani anakula nini?

Kwamba mtu anatoka tz hadi Malawi kwa mguu?
Labda ile Malawi ya kwetu ambayo mtu akivuka mto tayari yupo Malawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa wewe sasa naona umeamua tu kubisha

Mtu anatoka pale Songwe border hadi Mwenitete au Karonga kwa TZ11 tu siyo lazima apande vile visienta vyao (mind you Karonga ni takriban km 50 kutoka border usije ukadhani ni kama unatoka Nzovwe hadi Iyunga tu hapo)

Kula mtu lazima ule tu hata usiposafiri kwahiyo hapo usiweke kula kana kwamba ni expenses ambazo mtu anaincur akiwa anasafiri tu

Halafu kwani haukumsikiaga yule jamaa aliyesafiri kwa takriban wiki mbili from Mbeya to Dar kwa miguu kuja kucheki mechi ya Simba na Yanga na unaambiwa njiani kuna watu walikuwa wanataka hadi kumpa lift ila aliwakatalia

Na mikumi pale pale unavyopaona alikatiza kwa miguu na hakudhurika maana nimeona kuna mahali umeshangaa mtu kukatiza mikumi kwa miguu
 
Kwa mfano kuna tours company nyingi zinakuaga na offer kila mwisho wa mwaka, ukiangalia ni bei ndogo kwenda labda Ruaha, au hata kitulo ukashangae maua au uende Rubondo ukachome samaki fresh achana na habari ya roadtrip kweli ukijipanga unashindwa hata hiyo?

Details zaidi mkuu....
 
Mmh uwezo wa kufanya mambo gani

Mimi kwangu utajiri ni kuwa na pesa za kukimu yale mahitaji yote muhimu ya binadamu na bado zikabaki nyingine za kutosha kufanya maendeleo na kuweka akiba (na hii ndiyo tafsiri ya kawaida ya kiuchumi tukiachana na hizi ngonjera za utajiri wa moyo sijui nafsi)

In short kwangu mimi tajiri ni yule mtu ambaye pesa zake siyo za mawazo

Sasa wewe mwenzetu unachotaka kutuaminisha hapa ni kwamba hata mtu akipata nauli tu ya kuweza kumfikisha Mbeya au Moshi na kurudi akasema na yeye asafiri aoshe macho kidogo basi tayari ni tajiri

Wakati unaweza kukuta amesacrifice vitu kibao hapo ambavyo ni vya muhimu ili tu kujichanga hadi kufikisha hiyo hela kusudi tu na yeye asafiri sababu kusafiri ni hobby yake

Mimi kwangu huyo siyo tajiri maana hela zake ni za mawazo na hata mimi kama nina hela za mawazo kama hizo siwezi kujihesabia kuwa ni tajiri na hata mtu akisema mimi ni tajiri nitakuwa naona kama ananitukana tu

Kwahiyo siyo kila anayesafiri ni tajiri
Mtu hadi ameweza kulipa nauli ya kwenda Moshi na kurudi au kujaza mafuta kwenye gari huyo tayari ni tajiri.
Wewe ni tajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa wewe sasa naona umeamua tu kubisha

Mtu anatoka pale Songwe border hadi Mwenitete au Karonga kwa TZ11 tu siyo lazima apande vile visienta vyao (mind you Karonga ni takriban km 50 kutoka border usije ukadhani ni kama unatoka Nzovwe hadi Iyunga tu hapo)

Kula mtu lazima ule tu hata usiposafiri kwahiyo hapo usiweke kula kana kwamba ni expenses ambazo mtu anaincur akiwa anasafiri tu

Halafu kwani haukumsikiaga yule jamaa aliyesafiri kwa takriban wiki mbili from Mbeya to Dar kwa miguu kuja kucheki mechi ya Simba na Yanga na unaambiwa njiani kuna watu walikuwa wanataka hadi kumpa lift ila aliwakatalia

Na mikumi pale pale unavyopaona alikatiza kwa miguu na hakudhurika maana nimeona kuna mahali umeshangaa mtu kukatiza mikumi kwa miguu
Yaani unatamka elfu 11 tu!
Tayari wewe nj tajiri.

Watu wanaishi chini ya 1USD per day.

Yule wa kutembea kwa mguu si alikuwa anatafuta sifa,hivi kwamba hamkumgundua?
Muulizeni Mikumi alipitaje.

Hela ikishakuwa ya mawazo mtu hawezi kuiunguza tena kwenye nauli.
Yaani kula ale kwa shida,halafu ajilipue tena kuchoma nauli eti anaenda kutembea!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela kkishakuwa ya mawazo mtu hawezi kuiunguza tena kwenye nauli.
Yaani kula ale kwa shida,halafu ajilipue tena kuchoma nauli eti anaenda kutembea!.
Priorities ina matter sana. Mf, me sina hela ila hii week nimepunguza anasa kwenye mlo nataka nikanunue flower vessels.

Punguza ubishi usio na tija aunt subaru 😂
 
Priorities ina matter sana. Mf, me sina hela ila hii week nimepunguza anasa kwenye mlo nataka nikanunue flower vessels.

Punguza ubishi usio na tija aunt subaru [emoji23]
Huwezi kuwa na priority ya safari kama hauna hela.
Hela kwanza.

Wengine hata kupunguza anasa hawawezi kwa sababu hata hiyo hela uliyonayo ya kufanya anasa hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🙂🙂 hapa nachagua bugatti centodieci, hii tunahamia kabisa kwenye league na ndege zinapotaka kupaa
Ushauri kaka kabla jamaa yangu hajakaa humo,kaiona sehemu iko sokoni,safari na comfy imo humo au hamna kitu?

Screenshot_20210727-170834_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom