Hii Toyota IST kwa soko la UK nami niliielewa sana aisee, na ofcoz almost zote wakuta mileage imesogea parefu sanaunaweza bahatisha hata za Kijapani, ingawa ni chache mno. nilipata Probox lenye 1ND-TV (1.4L turbodiesel) beforward Japan, mwaka jana hiyo. lilikuwa na mileage 200k+ km ila hadi leo haina magonjwa ya ajabu ajabu pamoja na kuwa imetembea kweli, na kwa maintenance za kawaida tu (oil changes, matairi, vitu kama hivyo).
mengine niliyoyaona ni Toyota Urban Cruiser. ni iST ila ndo wanavyoibrand Uingereza, Toyota Corolla, Toyota Yaris (Vitz), kuna Nissan Micra (March kwa masoko mengine). ufahamu wangu ndipo unapoishia kwa za Kijapani.
sirudi tena upetrolini.
10.2kmpl combined? Mbona inanusa tu?!Wala haitishi
View attachment 1885868
Hapo ndio wanaonesha upopoma wao, haitokuja wawakaribie TRA 😀😀😀😀😀Huwa wanatafuta vyeo na sifa ya ukusanyaji mapato kuwashinda tra,hivyo huwa wanakaza sana
Nawavulia kofia kwenye upande wa electronics ya hizi gari pamoja na safety yake.. nilisoma kwenye website yao hii gari nikabaki na wish tuHii gari naipenda sana. One of the best SUVs in Europe
View attachment 1885978
Gari kama hii ndani mwili unatulia, akili inatulia huwezi choka endesha.. na wale wa mambo yetu inakuwa imetupunguzia load kama 50%.. gari inaongea hiyoo hela zitufate tuCockpit...
View attachment 1885985
Nikisoma review zake kwenye website nabaki nimeshika tamaa tamaa tuu... ila tunaweza mkuu kama tuta focus hapoMkuu acha tu...
Me nabaki kudondosha like tu[emoji848]Nikisoma review zake kwenye website nabaki nimeshika tamaa tamaa tuu... ila tunaweza mkuu kama tuta focus hapo
Mkuu RRONDO atatupa lift , lazima aipate hiyo within 3 yearsMe nabaki kudondosha like tu[emoji848]
Ila one day yes, ya kuku mayai ya Mungu mengi[emoji16][emoji16][emoji23]
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na ndoto ya gari mwaka huu ameitimiza ndoto yake, alifungua account yake ya malengo na alikaza roho maana kuna kipindi hana hata buku ili kule mzigo upoInawezekana kabisa.
Malengo tu na kama mwenzio anaweza kwanini wewe ushindwe?!Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na ndoto ya gari mwaka huu ameitimiza ndoto yake, alifungua account yake ya malengo na alikaza roho maana kuna kipindi hana hata buku ili kule mzigo upo