Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Turbo Charged Supercharged Petrol.

Fuel consumption yake unashika kichwa.
Wala haitishi
Screenshot_20210809-063228.png
 
unaweza bahatisha hata za Kijapani, ingawa ni chache mno. nilipata Probox lenye 1ND-TV (1.4L turbodiesel) beforward Japan, mwaka jana hiyo. lilikuwa na mileage 200k+ km ila hadi leo haina magonjwa ya ajabu ajabu pamoja na kuwa imetembea kweli, na kwa maintenance za kawaida tu (oil changes, matairi, vitu kama hivyo).

mengine niliyoyaona ni Toyota Urban Cruiser. ni iST ila ndo wanavyoibrand Uingereza, Toyota Corolla, Toyota Yaris (Vitz), kuna Nissan Micra (March kwa masoko mengine). ufahamu wangu ndipo unapoishia kwa za Kijapani.

sirudi tena upetrolini.
Hii Toyota IST kwa soko la UK nami niliielewa sana aisee, na ofcoz almost zote wakuta mileage imesogea parefu sana
 
Back
Top Bottom