Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa TRL aka TRC wanaruhusu abiria mchanganyiko kwa daraja la kwanza kwa sababu huwa Kuna vitanda viwili na ndani ya chumba kuwa Kuna kabati la kuhifadhia nguo na beseni la kunawia ,ila kwa daraja la pili ambapo huwa Kuna vitanda sita hawaruhusu na chumbani mnakuwa na beseni la kunawia......ila pia Kati ya chumba na chumba isipokuwa chumba G kwa daraja la kwanza Kuna kuwa na mlango unaowaunganisha ndani kwa ndani ,inakuwa rahisi kufanyika fumanizi hivyo inapaswa kuutia lock kwa upande wako
 
😀😀😀 Bado watu wanafumania siku hizi
 
Kwa lodge na guest house inawezekana. Maana pale unaandika tarehe ulioingia na yakutoka. Sasa ikiwa saa sita usiku unaandika tarehe hiyo inyoanza alafu unatoka kesho yake.

Kuna la hoteli kamoja Mbezi Beach tumefanya Sana hii😂😂😂
 
Ndio naingia Maswa, natokea huko kwa wakurya[emoji23][emoji23]

Sasa nimefika kaunta namsubiri mhudumu anipe chumba, ndio nikasoma hapa[emoji1787][emoji1787]

Nimetoka nitarudi baadae ili nione kama hiyo akili itafanya kazi, nina breakdown kidogo lakini kuna mzigo nitapakia hapa

Nione kama nitaua ndege wawili kwa jiwe moja..[emoji3][emoji3]
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…