Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Oh nimeelewa sasa. Ila tuvumiliane tu kukusindikiza nacho kipaji ujue! 😂😂😂
 
Kile kipande kumbe bado hawajachapa mkeka bado duh! Basi siendi huko acha nitulie tuuu
 
All the best. Katika watu nawakubali barabara kuu ni nyinyi. Yaani nikiwapita lazima nipige kahoni na kwa uungwana wenu huwa mnajibu.
Trucks wana heshima sana,hawana papara kwasababu wanajua madude hayo ukikosea ni balaa. Truckers I salute you.
Wapo poa sana hata usiku jamaa wana roho kabisa kama za sie ma rastafarai 😎😎
 
Ila uzuri wameandika vibao sema wahuni hawa eshimu wanafatana nyuma nyuma
 
Huo uzi nimeenda una matusi hatari sio mzuri kwa afya ya hisia upo kama Video za ngono
Nimeusoma na nikajiuliza sijui ndiyo nimeanza kuzeeka au ni kwamba kadiri umri unavyozidi kuenda ndivyo kuna baadhi ya vitu nazidi kukosa interest navyo

Mfano kipindi cha mwaka jana na juzi kurudi nyuma nilikuwa sikosi kuchangia kwenye mada kama hizo whether positively au negatively na nilikuwa nazifuatilia sana

Lakini kuanzia mwaka jana mwishoni hadi sasa hivi najiona naanza kuzipotezea mada kama hizo na nakosa interest nazo kabisa na kusoma au kuchangia ni mara chache sana
 
Mungu anakuandaa kuwa mchungaji 🤓🤓🤓
 
Umekuwa sana naona una grow kimtazamo natarajia mazuri zaidi umri wa kuoa unagonga hodi nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…