Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Singida kuna raha yake. Nilikuwa natulia hapo ila weekend naenda pigia mwanza hiyo nafanya kazi jumatatu hadi jumatano. alahmisi asubuhi naondoka saa nne nipo mwanza nakupa bata hadi jumapili mchana, jioni naondoka kurudi kazini singida πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mitaa yangu ilikuwa regency pale .. siku ingine Rode matoto ya chuo cha utumishi na TIA yanaajaaa yanakuja changamsha nakapanda kale ka mji mda wowote unachapa mwendo Arusha au Dom.. sema sio ka mji kakupiga matukio dk sifuri umejulika
 
Kale kanafukia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yah,nilikaona.. kana mwili mzuri.


Siwezi kula sana ISO,,halafu kipindi hicho nilikuwa nimekonda sana stress.
Siku hizi nimenenepa hadi kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]
anazungumzia Tako wewe unazungumzia kichwa tenaaa☺️☺️☺️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio namwambia kwamba nikenenepa hadi kichwa...
Anasema niongeze msosi ili ninenepe kwa sababu aliona nilivyo modo na Kiwango changu cha kula.
mamodo huwa mna vitako amazing πŸ€¨πŸ€¨πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Kama shehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Matusi haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na sisi madera siachi,navaa bila kujali tumenenepa au tumekonda[emoji38][emoji38]
Tukikonda tunafunga na mkanda kiunoni ili kujitofautisha na mashehe jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…