Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jini mafuta...alisikika akisema mmiliki mmoja wa Vitz!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio namwambia kwamba nikenenepa hadi kichwa...
Anasema niongeze msosi ili ninenepe kwa sababu aliona nilivyo modo na Kiwango changu cha kula.
Mwanamke anahitaji vitu viwili anenepe: chakula kizuri na kupendwa vizuri, apate amani ya moyo. Chagua kimoja nikupatie.
 
Mwanamke anahitaji vitu viwili anenepe: chakula kizuri na kupendwa vizuri, apate amani ya moyo. Chagua kimoja nikupatie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninavyo vyote ISO...

Mimi ninahitaji hela tu ili ninenepe,,,na nimenenepa kidogo kulingana na tumiamia ninatopata.

Yaani kwenye chakula utaniandama sana ila msimamo wangu ni uleule[emoji16]nakula kiduchuuu.
 
Ee bana ndio, naona unazijua XV na GT utofauti wake kwenye taa za nyuma.

Sijaona bado 450 mjini. Ila kama watu wanasukuma majesta I'm sure wapo wababe wanaosukuma 450XV/GT [emoji1787][emoji28]
Hahaha mimi huwa siyo mpenzi sana wa sedan ila kuna sedan zingine utazielewa tu bila kupenda! Binafsi kwa upande wa mjep naona Fuga, Crown, Impreza wamejitahidi sana!
 
Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.

Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu
 

Attachments

  • Screenshot_20211013-055246.jpg
    37.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…