Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Unanitamisha, jumapili usiku nikitoka kabisani naweza chapa mwendo hadi singida alafu nauza sura singida nachapa mwendo hadi mwanza kula samaki 😀😀😀Uko sawa sawa kbs mzee mwenzangu, me mara nyingi nimefanya ivyo na nikingurumisha mashine pale sgd saa 1ucku bas 7 ucku nipo hotelin Mwanza.
Nataka twende mwanza ukale samaki sato mdogo wangu 👨🏿🦳👨🏿🦳Kaka yangu Holy Man nadhani atakuwa na kms za kumwaga.
[emoji847][emoji847]Nataka twende mwanza ukale samaki sato mdogo wangu [emoji2572][emoji2572]
Tukitoka Dar tunalala morogoro, alafu next day tunalala dodoma, siku ingine twalala singida, then twaenda lala shinyanga alafu ingine mwanza 😀😀😀[emoji847][emoji847]
Ila Mwanza mbali mno,nitachoka sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnafika mwanza na mtoto tayariTukitoka Dar tunalala morogoro, alafu next day tunalala dodoma, siku ingine twalala singida, then twaenda lala shinyanga alafu ingine mwanza [emoji3][emoji3][emoji3]
Mdogo wangu huyo hatuwezi fanya neno lolote 😀😀😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnafika mwanza na mtoto tayari
Fuga limekula 26000 kms since january mpka sasa. Service cost yake sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikiandika hapa hata mtu aliyetamani kulimiliki atasusaUsema kweli nimetembea KM kibao hadi nafikiri mwanzo wa mwaka kubadirisha gari zote au mwisho wa mwaka zisije anza kuroga roga [emoji2572][emoji2572][emoji2572]
Dom iwe kituo cha kwanzaTukitoka Dar tunalala morogoro, alafu next day tunalala dodoma, siku ingine twalala singida, then twaenda lala shinyanga alafu ingine mwanza 😀😀😀
Hivi sijakuambia mtoto tumboni ameninenepesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnafika mwanza na mtoto tayari
lazima mfuko ujue kusema lugha moja na hicho chombo bila hivyo utaishia kutukana gari za nissan na kuita vimeo kumbe kimeo ni mfuko 😀😀Fuga limekula 26000 kms since january mpka sasa. Service cost yake sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikiandika hapa hata mtu aliyetamani kulimiliki atasusa
Wakubwa mnakula vinonoSingida kuna raha yake. Nilikuwa natulia hapo ila weekend naenda pigia mwanza hiyo nafanya kazi jumatatu hadi jumatano. alahmisi asubuhi naondoka saa nne nipo mwanza nakupa bata hadi jumapili mchana, jioni naondoka kurudi kazini singida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mitaa yangu ilikuwa regency pale .. siku ingine Rode matoto ya chuo cha utumishi na TIA yanaajaaa yanakuja changamsha nakapanda kale ka mji mda wowote unachapa mwendo Arusha au Dom.. sema sio ka mji kakupiga matukio dk sifuri umejulika
Hajui kama wewe ni kaka yangu wa tumbo moja😂Mdogo wangu huyo hatuwezi fanya neno lolote 😀😀😀😀😀
HatariKwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.
Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Siwezi safiri umbali mrefu hivyo bila kupumzika,,nitazimia njiani.Uchoke kwani unatembea kwa miguu?
Utanistua tuyajenge mkuu!Unanitamisha, jumapili usiku nikitoka kabisani naweza chapa mwendo hadi singida alafu nauza sura singida nachapa mwendo hadi mwanza kula samaki [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnafika mwanza na mtoto tayari
Hii nzuri😊Twende short trip Bagamoyo kesho. Nyerere day break
Haha Maranatha Hospital bhanaMbeya ukiondoa jengo la NHIF hakuna ghorofa lingine lenye lift[emoji16][emoji16][emoji23]