Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Hivi hujamuona popote Lizarazu?
 
Sometimes taa unaziwahi saingine ndio unafika tu karibu kitu kinasoma red sema kama mida ya ala za roho ishafika huwa sisimami ni kibati tu mpaka Mwenge
 
Hahahahhaha humo utanipoteza kwenye tarafa sijui kata wilaya yani hapo civics haikufua dafu! Ni kama somo la tense kwenye kingereza!

Najua nikikosea tense haisound vizuri ila kuzichambua hizo tense ndio kipengele
Mimi mwenyewe tarafa na majimbo sijui vitongoji hivyo sijawahi kuvielewa kwa kweli. Hayo mengine tuwaachie wabunge ndiyo wanaotakiwa kuyajua majimbo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ