Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aahh ndiyo nikajua wanaume wengi wa jf mnajua kukasirika asee yaani nilikuwa naoga matusi kama yote. Na hapo mtu anakasirika na kukutukana hivyo hakufahamu wala hajui kama unavyoongea uko serious au unatania.

Mtu stress zake zote anaona aje kukumalizia wewe. Kubadili id mbona wengi walijua maana niliwaambia.
Hivi hujamuona popote Lizarazu?
 
Uko sahihi 100% [emoji1787][emoji1787] wananikuta taa za mbele

Mara chache sana nafanikiwa kuvuka kijani za mbele na wao wakifika wanakuta nyekundu. Ila most times nakuwa nawapa show tu na baadhi (hasa vijana) wakinikuta mbele wananigusia kahoni kidogo ka appreciation.

Mjini kuendesha haraka sio kufika haraka.
Sometimes taa unaziwahi saingine ndio unafika tu karibu kitu kinasoma red sema kama mida ya ala za roho ishafika huwa sisimami ni kibati tu mpaka Mwenge
 
Hahahahhaha humo utanipoteza kwenye tarafa sijui kata wilaya yani hapo civics haikufua dafu! Ni kama somo la tense kwenye kingereza!

Najua nikikosea tense haisound vizuri ila kuzichambua hizo tense ndio kipengele
Mimi mwenyewe tarafa na majimbo sijui vitongoji hivyo sijawahi kuvielewa kwa kweli. Hayo mengine tuwaachie wabunge ndiyo wanaotakiwa kuyajua majimbo yao.
 
Back
Top Bottom