Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ubovu ndio upo hapo😅😅😅 af ushachakaza robo litre kwa vurugu😅 rpm 7Cha kusikitisha wanakukuta umesimama taa za mbele kidogo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubovu ndio upo hapo😅😅😅 af ushachakaza robo litre kwa vurugu😅 rpm 7Cha kusikitisha wanakukuta umesimama taa za mbele kidogo!
Hivi hujamuona popote Lizarazu?Aahh ndiyo nikajua wanaume wengi wa jf mnajua kukasirika asee yaani nilikuwa naoga matusi kama yote. Na hapo mtu anakasirika na kukutukana hivyo hakufahamu wala hajui kama unavyoongea uko serious au unatania.
Mtu stress zake zote anaona aje kukumalizia wewe. Kubadili id mbona wengi walijua maana niliwaambia.
Sometimes taa unaziwahi saingine ndio unafika tu karibu kitu kinasoma red sema kama mida ya ala za roho ishafika huwa sisimami ni kibati tu mpaka MwengeUko sahihi 100% [emoji1787][emoji1787] wananikuta taa za mbele
Mara chache sana nafanikiwa kuvuka kijani za mbele na wao wakifika wanakuta nyekundu. Ila most times nakuwa nawapa show tu na baadhi (hasa vijana) wakinikuta mbele wananigusia kahoni kidogo ka appreciation.
Mjini kuendesha haraka sio kufika haraka.
Uswahilini pake ni pa kinyonge [emoji16][emoji16]Kwahiyo TMK ni kwa kinyonge?
Nitaenda kupaona.
Kwahiyo ni kama mabatini tu?Uswahilini pake ni pa kinyonge [emoji16][emoji16]
Hahaa jamani sasa sehemu kama Tandika nako tuseme ni kuzuriHuyu inabidi tumchape viboko. Halafu unakuta hata TMK hajawahi kufika!
Itakuwa walinifunga kamba [emoji38][emoji38][emoji38]Obay na Masaki hapajawi kuwa na hakuna uswazi. Aliokwambia paliwahi kuwa na uswazi akwambie wapi. Usikute mnazungumzia Msasani maandazi road na bonde la mpunga. Maeneo ya mkoloni hayo wamejenga miaka hio sehemu tupu zilikuwa na mashamba ya mkonge.
Hahaa kwani hapa tunaongelea eneo zima au uswazi tu ya hilo eneo? Isije kuwa tushatoka huko kwenye mada ya uswazi na hamniambii?Vipi kuhusu Mbezi ya Magufuli?
Napo ni pa kinyonge??
Isije ikawa naishi unyongeni na sina habari!
Nimekupata [emoji4][emoji4]To be precise Masaki ni mtaa upo kule Masaki mwisho. Msasani Peninsula ni eneo linajumuisha Masaki ila sio kule Msasani maandazi road na bonde la mpunga.
Mimi mwenyewe tarafa na majimbo sijui vitongoji hivyo sijawahi kuvielewa kwa kweli. Hayo mengine tuwaachie wabunge ndiyo wanaotakiwa kuyajua majimbo yao.Hahahahhaha humo utanipoteza kwenye tarafa sijui kata wilaya yani hapo civics haikufua dafu! Ni kama somo la tense kwenye kingereza!
Najua nikikosea tense haisound vizuri ila kuzichambua hizo tense ndio kipengele
Dooh kwani haupendi ninywe bia [emoji19][emoji19]Shida moja tu unakunywa bia[emoji2356]
Dah kuna madereva Wanajiamini sana aseeSimiyu huko.
Madereva wanakimbia mwendo wa kwenda kuzimu(Kwa sauti ya chalii fransisco[emoji85])
😀😀😀😅😅😅😅😂😂😂Mimi mwenyewe tarafa na majimbo sijui vitongoji hivyo sijawahi kuvielewa kwa kweli. Hayo mengine tuwaachie wabunge ndiyo wanaotakiwa kuyajua majimbo yao.
Asikupangie huyo😅 mtoto mzuri njoo nikupige safari kubwa kwanza jeshini huku!Dooh kwani haupendi ninywe bia [emoji19][emoji19]
Anhaa umeanza eh [emoji849][emoji849]Young Pinius[emoji28]
Mfyuuu [emoji1787][emoji1787]Chaa!
Ina maana kenyewe hata 10 hakajafika.
Mwee hivi naanzaje kuolewa na mpare Mimi jamani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sasa sahizi tulia nataka nije nitoe posa kwa Canali mzee Anganile hapo
Aahh we mtoto hayo maswali kawaulize mipango miji sasa [emoji38][emoji38]Kwahiyo ni kama mabatini tu?
Mzee wa kutambaa na fursa [emoji38]Asikupangie huyo[emoji28] mtoto mzuri njoo nikupige safari kubwa kwanza jeshini huku!