Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

V8 bwege
 
Mkuu tupe mrejesho.
Mkuu nipo salama baada ya ligi kali na IT'S,nipo border kesho ninahamia kwa H&H,ila sikukutana na mzee yeyote wa Road trip, T1 yetu inahitaji bado matengenezo makubwa hasa kati ya Mbeya na Tunduma, kipande cha Igawa hadi Uyole, na we need urgent kazi pale Kitonga Pass, ligi hawakuiweza bcs under the bonnet nilikua na 2.4L,Toyota Hilux model 2018,one full tank kutoka Dar hadi Tunduma,80L thanks
 
Hongera mkuu.
 
Mkuu kwa uzoefu wako Kati ya toyota hilux ,diesel ile ya 2.7cc 2010 na hizo new model za kuanzia 2015 kama hiyo uloendesha ya 2018 , ipi toleo bora na inakimbia zaidi? Mi nauza nissan Navara iko juu ya mawe nataka nikachukue toyota hilux zile za south africa za 2010 ,.pia Kati ya diesel na petrol ipi bora kwa uzoefu wako Mkuu?

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…