Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkuu

Hapo unenena

Juzi nimetoka mto wa mbu alfajiri ya saa tisa

Kunapambazuka nipo makanya mbele kidogo pale bwiko v8 bwege hii

Nikaichapa nilikuwa nateleza na 150kph

Ruminion[emoji41]

Ajabu leo tumekutana hapa mahali kumbe jamaa alikariri chombo

Sasa ndio ananiuliiza ilikuwa kuwaje[emoji1787]

Namchekii nakula safari mdogo mdogo

Yaani alikereka na anaomba ligi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
V8 bwege
2686084_Bad_Vla.gif
 
Mkuu tupe mrejesho.
Mkuu nipo salama baada ya ligi kali na IT'S,nipo border kesho ninahamia kwa H&H,ila sikukutana na mzee yeyote wa Road trip, T1 yetu inahitaji bado matengenezo makubwa hasa kati ya Mbeya na Tunduma, kipande cha Igawa hadi Uyole, na we need urgent kazi pale Kitonga Pass, ligi hawakuiweza bcs under the bonnet nilikua na 2.4L,Toyota Hilux model 2018,one full tank kutoka Dar hadi Tunduma,80L thanks
 
Hongera mkuu.
 
Mkuu kwa uzoefu wako Kati ya toyota hilux ,diesel ile ya 2.7cc 2010 na hizo new model za kuanzia 2015 kama hiyo uloendesha ya 2018 , ipi toleo bora na inakimbia zaidi? Mi nauza nissan Navara iko juu ya mawe nataka nikachukue toyota hilux zile za south africa za 2010 ,.pia Kati ya diesel na petrol ipi bora kwa uzoefu wako Mkuu?

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom