Binafsi safari za mbali sibebi mtu nisiemjua hata nikiwa peke yangu,nakamuaga dar nzega alone,unabeba mtu hujui ana mzigo gani kisa tu elfu 20 baadae unaingia matatizoni!Mida yetu hiyo. Vichwa pakia Mbezi pale. Wale madalali watakupa 20 kwa kichwa. Wanapiga cha juu kikubwa, usikasirike.
Mida hii nimetoka Dar nimeingia Arusha, From Saa 4 to saa 11. Nimepakia vichwa vitatu vya Moshi vimenipa lita 20 za mafuta. Nikatembea mdogo mdogo mwendo wa usiku, nimefika kwa avg ya 10kmpl na 84km/h
Maumivu ya kupanda kwa bei ya wese yamemezwa kwa mfumo huo.
Baadaye nageuza [emoji1787]
That is very, very trueBinafsi safari za mbali sibebi mtu nisiemjua hata nikiwa peke yangu,nakamuaga dar nzega alone,unabeba mtu hujui ana mzigo gani kisa tu elfu 20 baadae unaingia matatizoni!
True broThat is very, very true
Gari gani hiiWakuu dua zenu...Dodoma moja
View attachment 2308011
Aina gani ya gari hii, maana nimependa dash yakeLeo nimesafiri mpaka changanyikeni [emoji23][emoji23]View attachment 2309292
Pako njema, ila jikoni hawako vizuri. Pacheki Esperanza pia, agiza Pizza na Chicken Diana.Nations hii joint inaitwa SOUTHERN EMPIRE hapa Dodoma ni next level!
Hii Android system kiasi gani?Leo nimesafiri mpaka changanyikeni [emoji23][emoji23]View attachment 2309292
Next time...Pako njema, ila jikoni hawako vizuri. Pacheki Esperanza pia, agiza Pizza na Chicken Diana.
View attachment 2312663
Ukiwa na hela ya kununua hio mafuta hayawezi kuwa tatizo.Na hii bei Mpya ya diesel Atakae nunua ana kaziView attachment 2312852
Mkuu ni Crown Athlete, hiyo android screen nimeiongezea tuuAina gani ya gari hii, maana nimependa dash yake
Mkuu hii jamaa alinifungia kwa Milioni 1, alianzia 1.1MHii Android system kiasi gani?