Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mida yetu hiyo. Vichwa pakia Mbezi pale. Wale madalali watakupa 20 kwa kichwa. Wanapiga cha juu kikubwa, usikasirike.

Mida hii nimetoka Dar nimeingia Arusha, From Saa 4 to saa 11. Nimepakia vichwa vitatu vya Moshi vimenipa lita 20 za mafuta. Nikatembea mdogo mdogo mwendo wa usiku, nimefika kwa avg ya 10kmpl na 84km/h

Maumivu ya kupanda kwa bei ya wese yamemezwa kwa mfumo huo.

Baadaye nageuza [emoji1787]
Binafsi safari za mbali sibebi mtu nisiemjua hata nikiwa peke yangu,nakamuaga dar nzega alone,unabeba mtu hujui ana mzigo gani kisa tu elfu 20 baadae unaingia matatizoni!
 
Leo nimesafiri mpaka changanyikeni [emoji23][emoji23]
20220730_230003.jpg
 
Back
Top Bottom