A wale jamaa tumewatafuta sana ila kuna jamaa alikuwa na alphard nyeusi nae aliuwasha moto sanaa ila alikuwa na vituo vingi sanaaaa.Hio gari niliiona Tabata sheli mchana wake, ile mashine ni VX-R lazma ingewakalisha tu. Moto wake sio wa kitoto.
Yes tyres za kuunga ni very risk, halafu uzuri wa usiku pale kitonga pass hapasumbui sana maana trucks nyingi zinakua zimeshapaki ,ni tankers chache zinakua barabarani
Hahahahah mie Iyovi ni adabu kwanza mule ni 8O-1OO sizidishiYeah mkuu ukishapita Ile round about ule mlima ni 120km/hr, na zile kona za iyovi ni moto ila kuendesha ni physics pia,elewa fast corners na slow one,elewa breaking points zipo wapi na always drive in a driving line!
Sawa mkuu speed hiyo nayo ni salama, cha muhimu ni zile breaking points lazima uwe makini, too late or to early unaingia mtoniHahahahah mie Iyovi ni adabu kwanza mule ni 8O-1OO sizidishi
Leo sujawaona jamaa kbc au nawenyewe ni mashabiki wa sumba[emoji23]Leo njia ilikuwa wazi sana bila shaka. 3hrs ndio mwendo sahihi wa Dar-Moro ukiwahi sana unatumia 2hrs 4Omins. Hilo ni ukikubaliana na cheti lakini maana kutembea hizo speed mchana hawakuachi. Wao wanataka uende dsm-moro kwa masaa 5.
ALphard mwendo upo, ile gari ni 168Hp sio haba ndio maana hata Vanguard zinatembea sana. 2AZ ina mwendo bana hata overtake zake sio za wasiwasi.A wale jamaa tumewatafuta sana ila kuna jamaa alikuwa na alphard nyeusi nae aliuwasha moto sanaa ila alikuwa na vituo vingi sanaaaa.
Leo sujawaona jamaa kbc au nawenyewe ni mashabiki wa sumba[emoji23]
Leo hapakuwa na foleni alafu nilikuwa nafukuzana na stl moja prado nimewasha taa nikasema huyu mwamba simuachii[emoji23][emoji23]Ina maana hakuna foleni. Last time nilitumia kama 1hr from Moro to Chalinze then 2hrs Chalinze to Dar.
Kwa huo mwendo rahisi kuziona. Sababu kuna matarumaSawa mkuu speed hiyo nayo ni salama, cha muhimu ni zile breaking points lazima uwe makini, too late or to early unaingia mtoni
Uliishi nae hadi moro?Leo hapakuwa na foleni alafu nilikuwa nafukuzana na stl moja prado nimewasha taa nikasema huyu mwamba simuachii[emoji23][emoji23]
Walienda Simba dei hao wajingaLeo sujawaona jamaa kbc au nawenyewe ni mashabiki wa sumba[emoji23]
Too heavy. Ila Crown kws Japanese toys inatesa ssna. Ukitoa lc200 Vxr hakuna gari inasumbua.Hahahahah
ALphard mwendo upo, ile gari ni 168Hp sio haba ndio maana hata Vanguard zinatembea sana. 2AZ ina mwendo bana hata overtake zake sio za wasiwasi.
Halafu zile speed traps za porini zinatia hasira mno,ila zile corners ni lazima utambue the slow ones na fast ones, bila kutambua lazima utaingia mtoni,slow corners breaks firm kabla ya kuingia kwenye corners, ukibreaks to late na ukaingia kwenye corner na break kuna hatari ya ku lock tyres, hapo Uta lose control ya gari na straight mtoniKwa huo mwendo rahisi kuziona. Sababu kuna mataruma
Yeah kwa 2AZ body ziko heavy. Kati ya magari mengi ya Toyota, Crown is the fastest kwa kweli, ina smooth accelerations na ukitaka iwe kichaa inakuwa very wild in a matter of secs. Thats a 215Hp machineToo heavy. Ila Crown kws Japanese toys inatesa ssna. Ukitoa lc200 Vxr hakuna gari inasumbua.
Ukienda race sana na breki unaweza uka skid kidizaini ukapoteaHalafu zile speed traps za porini zinatia hasira mno,ila zile corners ni lazima utambue the slow ones na fast ones, bila kutambua lazima utaingia mtoni,slow corners breaks firm kabla ya kuingia kwenye corners, ukibreaks to late na ukaingia kwenye corner na break kuna hatari ya ku lock tyres, hapo Uta lose control ya gari na straight mtoni
Ila naitamani experience ya LC3OO VX-R yake sijui itakuwaje in real practice maana horsepower ni ya hatari. Watu washaujaribu moto wake huko highway haushikiki.Too heavy. Ila Crown kws Japanese toys inatesa ssna. Ukitoa lc200 Vxr hakuna gari inasumbua.
Si bora 50. Kufata lori nyuma sehemu iliyonyooka kisa mstari ni changamoto kubwa zaidiNi kweli mkuu kuona mbali ni burudani ila shida wajomba wale. Inakera mno gari haina shida ila utembee na 5O! Bado wanakutia vyeti safari ya 3hrs uende 5hrs
Ndege ya chini haina mpinzaniToo heavy. Ila Crown kws Japanese toys inatesa ssna. Ukitoa lc200 Vxr hakuna gari inasumbua.