Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Leo njia ilikuwa wazi sana bila shaka. 3hrs ndio mwendo sahihi wa Dar-Moro ukiwahi sana unatumia 2hrs 4Omins. Hilo ni ukikubaliana na cheti lakini maana kutembea hizo speed mchana hawakuachi. Wao wanataka uende dsm-moro kwa masaa 5.
Leo sujawaona jamaa kbc au nawenyewe ni mashabiki wa sumba[emoji23]
 
Kwa huo mwendo rahisi kuziona. Sababu kuna mataruma
Halafu zile speed traps za porini zinatia hasira mno,ila zile corners ni lazima utambue the slow ones na fast ones, bila kutambua lazima utaingia mtoni,slow corners breaks firm kabla ya kuingia kwenye corners, ukibreaks to late na ukaingia kwenye corner na break kuna hatari ya ku lock tyres, hapo Uta lose control ya gari na straight mtoni
 
Too heavy. Ila Crown kws Japanese toys inatesa ssna. Ukitoa lc200 Vxr hakuna gari inasumbua.
Yeah kwa 2AZ body ziko heavy. Kati ya magari mengi ya Toyota, Crown is the fastest kwa kweli, ina smooth accelerations na ukitaka iwe kichaa inakuwa very wild in a matter of secs. Thats a 215Hp machine

Hawakukosea kuiita "ATHLETE" it lives up to its name.
 
Halafu zile speed traps za porini zinatia hasira mno,ila zile corners ni lazima utambue the slow ones na fast ones, bila kutambua lazima utaingia mtoni,slow corners breaks firm kabla ya kuingia kwenye corners, ukibreaks to late na ukaingia kwenye corner na break kuna hatari ya ku lock tyres, hapo Uta lose control ya gari na straight mtoni
Ukienda race sana na breki unaweza uka skid kidizaini ukapotea
 
Misumari myeusi.
FB_IMG_1659992579208.jpg
 
20220808_000718.jpg

Trip za usiku ziheshimiwe na watu wote, zitabaki kuwa juu

Nilitoka Dodoma 1915 nikafika hiyo point ambayo naihesabiaga mwisho wa safari @ 0118

Hayo ni masaa 6 Dodoma to Dar, wastani wa kawaida sana 85kmph na 9.5kmpl

Ingekuwa mchana bado una masaa mawili barabarani ya usumbufu. Na vyeti.
 
Back
Top Bottom