It comes down to power.Nashangaa wanavyozidharau,hizo pick up za generation ya sasa bila kujali brand(TATA excluded) si za kuchukulia poa ni hatari!hata mitsubishi L200 zitakustaajabisha.
Saa SITA usiku kasema atakuwa Cask, je saa hizi Yuko wapi? Ndio Yuko Dom itakut
Komaeni kiume, mambo ya delete ni uharibifu wa gari. 😀😀😀Wapi wanadelete hii kitu kwa Dar es salam,maana nina cx5 ya diesel na taa ya dpf imewaka.
Hahahah mi nachoona ukiwa na 2OO+ horses. Na ubao wa 26O lazma uwe mtabe tu kibongo bongoIt comes down to power.
Ukiwa na 250hp kifuani na top speed ya 260kph, utazisumbua almost 95% ya gari zote Tz.
Kwenye hizo pickups kuna zenye below hizo figures, huezi fua dafu kwa baadhi ya watu.
Mfano hata hizi ford ranger wild track, zina 200hp. Mwendo wa kawaida sana.
Factor sio hiyo moja tu mkuu naona unaangalia speed tu na umbali.. Kuna gari kuchanganya, kuna milima na kona.. Hizo zilizotajwa zina handle hayo mazingira vizuri zaidi ya hii uliyotaja.. Lc200 inafika top speed haraka zaidi na mkikutana maeneo yenye muinuko performance ya Opa lazima iwe chini... Handling kwenye kona nayo hivyo hivyo.... Maeneo ya ku overtake yenyewe wakati wewe unawaza kama u overtake au laa Lc200 kashapita. Unless kama unazungumzia barabara isiyo na kikwazo chochote.Sasa mkuu kama basi kabla ya tochi ziliweza kufika Mbeya kwa masaa tisa,OPA yenye 1.8L/2.0L inashindwaje ku-cover interval ya km 500 kwa huo muda?Ugumu wa sasa ni kwenye ubize wa barabara lakini gari za sasa nyingi ziko vizuri kuliko za zamani.
Watu mko nae...hamuamini 😀....jamaa lishafika cask linakandwa mgongo na watoto wazuri nowMkuu National Anthem ni sita kasoro saii area code inasoma wapi mkuu.
[emoji2955] kumbe jamaaa kweli kauwasha motoWatu mko nae...hamuamini 😀....jamaa lishafika cask linakandwa mgongo na watoto wazuri now
Mkuu ndio naingia kulala, nilikuwa the cask ingawa nilichelewa kufika nimefika saa tisa za usiku .. kuna mahala nilipata shida kidogo.Mkuu National Anthem ni sita kasoro saii area code inasoma wapi mkuu.
A pole sana mkuu ni kheri ulifika salama.Mkuu ndio naingia kulala, nilikuwa the cask ingawa nilichelewa kufika nimefika saa tisa za usiku .. kuna mahala nilipata shida kidogo.
Kikubwa kufika salama safari ni hatuaMkuu ndio naingia kulala, nilikuwa the cask ingawa nilichelewa kufika nimefika saa tisa za usiku .. kuna mahala nilipata shida kidogo.
Jambo la kushuruku Mungu, Brake yalifail mzee baba kitu paaaa 😵💫😵💫😵💫😵💫.... Nipo hapa napiga kahawa niliamshe chato then dar es salaam night by night kesho jioni nitakuwa dar es salaam viunga vya manzeseA pole sana mkuu ni kheri ulifika salama.
Asee pole sana mzee baba, brake ilizinguaje tena dah ni hatari mnoJambo la kushuruku Mungu, Brake yalifail mzee baba kitu paaaa 😵💫😵💫😵💫😵💫.... Nipo hapa napiga kahawa niliamshe chato then dar es salaam night by night kesho jioni nitakuwa dar es salaam viunga vya manzese View attachment 2330236View attachment 2330235
Pole sana mkuu zili fail kipande cha wapiJambo la kushuruku Mungu, Brake yalifail mzee baba kitu paaaa [emoji43][emoji94][emoji43][emoji94][emoji43][emoji94][emoji43][emoji94].... Nipo hapa napiga kahawa niliamshe chato then dar es salaam night by night kesho jioni nitakuwa dar es salaam viunga vya manzese View attachment 2330236View attachment 2330235
Mkuu wewe mwanachama mwenzangu wa night
trips bonge moja la experience. Lami imepoa engine inatembea on optimum perfomance.
🙏🙏🙏Pole sana
Hata usingepata shida mkuu,saa 6 usiku kwa muda uliotoka Dsm usingeweza kutoboa MZA labda kama utaamua kuchangamsha tu kijiwe hapaMkuu ndio naingia kulala, nilikuwa the cask ingawa nilichelewa kufika nimefika saa tisa za usiku .. kuna mahala nilipata shida kidogo.
estimation hazikuwa sahihi,Hata usingepata shida mkuu,saa 6 usiku kwa muda uliotoka Dsm usingeweza kutoboa MZA labda kama utaamua kuchangamsha tu kijiwe hapa