Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nashangaa wanavyozidharau,hizo pick up za generation ya sasa bila kujali brand(TATA excluded) si za kuchukulia poa ni hatari!hata mitsubishi L200 zitakustaajabisha.
It comes down to power.

Ukiwa na 250hp kifuani na top speed ya 260kph, utazisumbua almost 95% ya gari zote Tz.

Kwenye hizo pickups kuna zenye below hizo figures, huezi fua dafu kwa baadhi ya watu.

Mfano hata hizi ford ranger wild track, zina 200hp. Mwendo wa kawaida sana.
 
It comes down to power.

Ukiwa na 250hp kifuani na top speed ya 260kph, utazisumbua almost 95% ya gari zote Tz.

Kwenye hizo pickups kuna zenye below hizo figures, huezi fua dafu kwa baadhi ya watu.

Mfano hata hizi ford ranger wild track, zina 200hp. Mwendo wa kawaida sana.
Hahahah mi nachoona ukiwa na 2OO+ horses. Na ubao wa 26O lazma uwe mtabe tu kibongo bongo
 
Sasa mkuu kama basi kabla ya tochi ziliweza kufika Mbeya kwa masaa tisa,OPA yenye 1.8L/2.0L inashindwaje ku-cover interval ya km 500 kwa huo muda?Ugumu wa sasa ni kwenye ubize wa barabara lakini gari za sasa nyingi ziko vizuri kuliko za zamani.
Factor sio hiyo moja tu mkuu naona unaangalia speed tu na umbali.. Kuna gari kuchanganya, kuna milima na kona.. Hizo zilizotajwa zina handle hayo mazingira vizuri zaidi ya hii uliyotaja.. Lc200 inafika top speed haraka zaidi na mkikutana maeneo yenye muinuko performance ya Opa lazima iwe chini... Handling kwenye kona nayo hivyo hivyo.... Maeneo ya ku overtake yenyewe wakati wewe unawaza kama u overtake au laa Lc200 kashapita. Unless kama unazungumzia barabara isiyo na kikwazo chochote.
 
A pole sana mkuu ni kheri ulifika salama.
Jambo la kushuruku Mungu, Brake yalifail mzee baba kitu paaaa 😵‍💫😵‍💫😵‍💫😵‍💫.... Nipo hapa napiga kahawa niliamshe chato then dar es salaam night by night kesho jioni nitakuwa dar es salaam viunga vya manzese
A26119A0-5239-48A8-AC4B-73F46EB602BA.jpeg
1717FBE2-AB3E-438C-9EF4-12CA77297F49.jpeg
 
Mkuu wewe mwanachama mwenzangu wa night
trips bonge moja la experience. Lami imepoa engine inatembea on optimum perfomance.

cha mwarabu kinaipapasa F, tyres ziko njema, engine inakohoa mlio wa nyoka swila, afu mfukoni una 'benjamins' za kutosha, plus heavy sound inablast kistaarabu kwa spika, aaah asikwambie ntu bhana... night ride ni full burudani bro.

Usiku road nyeupe... haina vikwazo vya kiserikali. Ni kuijua tu njia vyema then unasaga lami... mguu kulia, mguu kati... mshale at 3 o'Clock most of the time. 😎

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom