Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
It comes down to power.Nashangaa wanavyozidharau,hizo pick up za generation ya sasa bila kujali brand(TATA excluded) si za kuchukulia poa ni hatari!hata mitsubishi L200 zitakustaajabisha.
Ukiwa na 250hp kifuani na top speed ya 260kph, utazisumbua almost 95% ya gari zote Tz.
Kwenye hizo pickups kuna zenye below hizo figures, huezi fua dafu kwa baadhi ya watu.
Mfano hata hizi ford ranger wild track, zina 200hp. Mwendo wa kawaida sana.