Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
And I will let it pass.Kweli aisee huu ndiyo mwezi wenyewe wa kula bata ila wengine sasa hivi mambo ndiyo yamebanana
Mie sikukuu nitazilia huku huku tu sina namna
Let's meet in Sept/ Oct
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And I will let it pass.Kweli aisee huu ndiyo mwezi wenyewe wa kula bata ila wengine sasa hivi mambo ndiyo yamebanana
Mie sikukuu nitazilia huku huku tu sina namna
We ndondoshee bobo tu, msimu wa ma Chawa kutamba huuUsijali, sisi chawa wake tutakupa ka hint ka picha tukiwa tumeweka vishoka ndingani.[emoji23][emoji23]
Duh washaninasa sehemu kama hii....jamaa wanajua wapi uvumilivu unatushinda.Traffic nchi nzima wanasimamia sana overtaking mahali ambapo mstari hauruhusu, hata kama ni salama.
Wapiga picha wanakaa haswa kwenye milima, wanajua malori yatakuwa slow nawe utataka kuyapita kwenye mstari ulionyooka. Ukifanya hivyo utakuta picha na cheti chako mbele.
Aisee asante kwa taarifa hii, niliona kipande cha same-himo kina changamoto hizi. Kwingine wapi?Mashimo ni mengi, juzi niliondoka dar 12 jioni nimeingia Arusha 03.00, barabara mbovu sana.
Kuna matuta hayana alama ya zebra, kuna sehemu za barabara lami imechubuka...yaani ni hatari hasa ukiwa na gari ya chini.
Mara kadhaa nilijibamiza kwenye matuta yasiyo na alama au mashimo...kilichonisaidia gari imeinuka.
Ni hatari kutembea usiku kuja kaskazini
Ha ha ha ha DVA watapata tabu sana....honi kama zote! Vanguard nyeusi?!!Ohooo
Haya bwana mkubwa ..tukapigapo na ka honi kumbe sio ww😂😂😂
Ila kama ingekua ni ww ningekua nshakufahamu fika maana jamaa alikua na pisi kali anaongea nayo mwendo wa taratiibu ....anachelewesha watu wa nyuma kila mtu alikua akiovateki anamuangalia kwanza na alikua ameshusha kioo
Kuanzia kesho misafara inaanzaMsitunyime kapicha hata ka Tecno msafara wenu hiyo tarehe
Kuna Msukuma Kadogosa kasema atatuma Treni kila siku tarehe hizo ibebe zaidi ya abiria 2000 na baada ya mwaka mpya vivyo hivyo
najua bado tutawaona barabarani Chalinze Segera Himo
Wenye magari yenu jamani msinisahau
Wa Arusha,Mbeya au Tabora yoyote tu anipe lift..
Mbona mnakuwa wachoyoo??
Lodge gani nzuri....iko kwenye ratibaI love long drives!
Ukiwa njiani kurudi, pandisha Lushoto. 60 Kms kutoka Lushoto town kuna kijiji kinaitwa Mambo. Hali ya hewa ni njema Sana, highest point na unaona pare and sambaa land around you. Network ya simu ni ya shida na hakuna TV. Ukikaa siku 2 tu utarudisha nyuma umri wako kwa miaka 10.
Enjoy your trip mazee
Safari ya usiku inachosha na kuboa sana.Hasa barabara ya kaskazini imeharibika sana, wazee wa kupenda kutembea usiku inauniza sana.