Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wewe utatapika kwenye gari maanake tunaendesha kama shemeji yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo tunaotapika haturuhusiwi? Ntaandaa vifungashio vya kutapikia,
Afu huo mtindo wa kuburuza gari km mnakimbizwa na viumbe hatari mtakuja mjute oooh.
Ila safe journey to u all.
 
Rwanda
FB_IMG_1600490860036.jpg
20200602_181854.jpg
 
I love long drives!
Ukiwa njiani kurudi, pandisha Lushoto. 60 Kms kutoka Lushoto town kuna kijiji kinaitwa Mambo. Hali ya hewa ni njema Sana, highest point na unaona pare and sambaa land around you. Network ya simu ni ya shida na hakuna TV. Ukikaa siku 2 tu utarudisha nyuma umri wako kwa miaka 10.

Enjoy your trip mazee
Hapo kwa highest point Lushoto nimekumbuka Irente Lodge
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo tunaotapika haturuhusiwi? Ntaandaa vifungashio vya kutapikia,
Afu huo mtindo wa kuburuza gari km mnakimbizwa na viumbe hatari mtakuja mjute oooh.
Ila safe journey to u all.
Kama utabeba mifuko sawa...
 
Back
Top Bottom