Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Usiku + Vicheche ni combination moja hatari sana.

Last trip nilikuwa nimeiva usiku kwenye saa 4 naitafuta Sekenke, hakuna gari mbele yangu, ukatokea msururu wa magari kutoka upande wa pili tupishane nao, wa mbele akawa ananiflashia high beam constantly japo nilishazima high beams, nikaanza kupunguza mwendo na kuwa attentive.

Kumbe kuna kicheche mbele yangu, yeye alikotoka amekiona anajaribu kunishtua, sasa kinyume chake yale mataa yake yakawa yananitoa kwenye focus kuangalia mbele yangu naishia kuhangaika na flashes zake, kuja kushtuka majani haya hapa! Bahati nzuri nakaaga katikati ya barabara so nikayakwepa na niliyavaa kiaina nikawa nasikia harufu yake ndani ya gari.

Kunisaidia angeflash mara moja na kuzima taa nione vizuri. Kumflash mtu mara kumi kumi kwamba kuna kicheche mbele ndio kabisa unamzuia kukiona.

Kupishana usiku at high speed ni sanaa ya aina yake
Kuna vicheche vinaachwa kwenye mazingira hatarishi sana, giza likiingia barabara zetu hizi ni hatari sana. Kuna Mzee wa usiku Kwa usiku simuoni humu
East Wind
 
Ilikuwa nyeupe sio? Kama 2 weeks ago? Nilipita alfajiri nilikuwa naenda Moro, nikaiona imewekwa pembeni imeisha vibaya mno nikajisemea wamekufa watu bila shaka maana imebonyea mpaka nyuma.

Aliipiga wapi ile gari?
Nasikia walipiga lori. Walikufa wanne alipona abiria tena wa siti ya mbele
 
Eti mark x na crown hazifai kuwa gapi ya kwanza!Kwahiyo tuanze na gari gani?
Wamiliki wengi gari ya kwanza hawana utulivu, bado vijana. Ujana na nguvu ya Mark X au Crown ni combination ya hatari.
Btw ni hela yako tu yoyote ile unaweza kununua. Kwa wenzetu gharama za insurance zinategemea sana umri wako na aina ya gari.
 
Nafikiri anawalenga wasio na uzoefu wa udereva hasa kwa kuangalia nguvu na wepesi wa magari husika. Umiliki kama gari ya kwanza kwa dereva mzoefu ni heri tu wala si jambo

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kwani unafikiri wanaonyooshwa na ni hizo gari wanaangukia kundi gani? Vijana au wamiliki wa Kwanza. Wapo watu wazima wengi wana hizo gari ila hutasikia wamepata ajali kama tunazosikia za hao vijana.
 
Kwani unafikiri wanaonyooshwa na ni hizo gari wanaangukia kundi gani? Vijana au wamiliki wa Kwanza. Wapo watu wazima wengi wana hizo gari ila hutasikia wamepata ajali kama tunazosikia za hao vijana.
Kuna mzee mmoja 50+ kafariki Mwezi nov 2020 kaiacha Crown Royal inawaka kama imetoka showroom. Sijui itakua inafananaje saiv baada yakuachiwa vijana wake. Ile gari akizima taa wakati usiku anaweza aka kugonga aisee ipo kimya haigongi ata "Kidunchu.".
 
Hio Crown hakuna rangi itaacha ona...mishale ya dashboard yote itagusa sehemu ambayo haijawahi kugusa!
 
Eti mark x na crown hazifai kuwa gapi ya kwanza!Kwahiyo tuanze na gari gani?
Kuna jamaa niliandika hapa akanibishia sana lakin ukweli utabaki kwamba hz gari ni very risk sana kwa vijana.Kwenye nchi za wenzetu insurance Co. huwa zinachaji premium kubwa kwa kuzingatia umri wa dereva,ukubwa wa engine ya gari nk. Kwa mazingira yetu ya Tanzania ni kwamba Crown,Mark X na Brevis zinapendwa sana na vijana na ndizo zinazoongoza kwa mizinga mibaya sana.Nilishaenda kufanya service Spring City garage ilikuwa jumatatu fulani,hz gari zilikuwa zipo za kutosha tu sababu ya mizinga na hopeful lazima ni vijana kwenye mambo ya weekend, na nyingi zilikuwa mpya kabisa.
 
IMG_6928.JPG
 
Uzuri wengine masanga hatugusi, ni kukunja tu goti. Iwe machana, isipokuwa usiku. Usiku na uheshimiwe unaweza kukunyoa roho
 
Back
Top Bottom