Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
πππππ... hii yetu ipo kwenye matairi yetuRiziki ya nanihiii iko miguuni mwake...πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππ... hii yetu ipo kwenye matairi yetuRiziki ya nanihiii iko miguuni mwake...πππ
Ka vitu ambavyo nimeshindwa, ni kupaki gari sehemu nilale.. hili hata niwe tight vipi huwa natobo lengo kuu huwa nipate sehemu nzuri sana ya kulala.. ili nikiuchapa usingizi nauchapa kwelii πKuna siku mida ya saa 9 nlilipaki nyuma ya tanker la mafuta pale Kibaigwa nikajilaza nipunguze usingizi.
Ndoto ikaja niko kibati halafu kuna kuna kicheche cha tanker la mafuta naenda kukivagaa. Kukurupuka usingizini na kufungua macho naona lori lilelile nililoliota liko mbele yangu sasa live. Panic yake mzee, mpaka kuja kugundua nilikuwa naota nimeshateseka sana.
Nikalaza vizuri kiti nikaendelea kulala. [emoji23]
Mwanza π³π³π³... Natoka dar alfajiri saa 2 usiku nipo mwanza ... tena huwa napitilizia kula bata kama sio the cask basi uswazi diamond (napenda yale masato yao na palivyo changamka, nakaa napiga na maji hata lita tatu maana wengine alcohol hatuijui) au bonasera ... narudi hotelin asubuhi πππππ.. japo sio mala zote huwa nafanya hivi.. hutokea siku nikiwa nimechangamkaMwanza napo si mchezo. Kwa afya inabidi safari igawanywe mara mbili
Nipo hapa nizakuzururisha had uchoke mwenyewe.Nikija huko nitatafuta mwenyeji wa kunitembeza jijini,bila hivyo nitapotea mchana kweupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mie hivyo yalivyo muundo wa umbo lake, hapan kwa kweli, khaaaahHata mimi siyakubali,
Hata sababu sina , ila @28 years of service , full aircon , jamaa apewe tu hongera kwa kulitunza.
Usitake kunambia wee mommy ni bishow, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi napenda tu miwani za urembo ila nikivaa huwa kama zinanitekenya pua! Hapo ndipo ninapoonaga shida naishia kupandisha juu navalia kichwani!
Mkuu mboka manyema πππ..Holyman kuna swali hapo.mkoa gani nw?
Naburudika na comments hapa ndani ya uba kuelekea kinondoni.Dereva kafunga kioo full air condition harufu yake ya jasho yote mpaka nimemwambia fungua kioo sipendi air condition.
Dar - Harare πππ au nenda Goma pale congoWazee wa Trip nimetamani safari ndefu ya Bus hata nje ya nchi
Naombeni ideas za safari ndefu. Zaidi kwa Njia ya bus Kutokea Dar- popote[emoji28]
Dar - Harare [emoji6][emoji6][emoji6] au nenda Goma pale congo
Mzee Kikwete zamani sana (early to mid 90's) alikuwa na mashine kama hii, sijui kama angali anayo...
Miraj, Sele Kikwete wazee mlitutesa sana kitaa cha Migombani...
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHANA NA NISSAN WEWE , LIKICHANGANYA MPAKA 160 NILAGONGA.MM NINALO MWAKA WA 28 SASA FULL AC MZIKI MNENE
View attachment 1798842
View attachment 1798843
View attachment 1798844
View attachment 1798845
View attachment 1798846
Huwa tunakuja mama...Nimepitia uzi mzima,hakuna aliyepiga trip ya Mbeya,,
Halafu sijaona aliyeanzia trip Yake Mbeya,,ina maana Mbeya wote hatuna magari mwee[emoji38].
Sent using Jamii Forums mobile app
This weekend (Jumamosi), ipige sop sop ile Nissan niliyocrush nayo toka Maktaba signals to Mbuyuni.... Ntakusubiria Mediteranian....
Nna jambo nalo Nissan, my crush car [emoji3059].
Halafu uache kutoa siri za familia ntakusemea kwa shemeji ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo sukari, nimwkumithiii....[emoji12][emoji12]
Kwa mujibu wa TanroadYeah Mbeya parefu. Ila nahisi umbali wake hauoni ndani kwa umbali wa kwenda Mwanza.
You can plan for Dar - Mombasa (via Tanga), utaweza iona Tanga yote utamiss tu kupita wilaya ya Lushoto, Korogwe...Wazee wa Trip nimetamani safari ndefu ya Bus hata nje ya nchi
Naombeni ideas za safari ndefu. Zaidi kwa Njia ya bus Kutokea Dar- popote[emoji28]
Hivi bibi kumbe unapenda hiyo gari?Nissan Safari....
Nissan baby...
My crush, my soul....[emoji3059]
[emoji1635], safe drive.
Mie kwa sasa natamani safari kati ya Dar - Mombasa/Lusaka/Lilongwe/Harare kwa busWazee wa Trip nimetamani safari ndefu ya Bus hata nje ya nchi
Naombeni ideas za safari ndefu. Zaidi kwa Njia ya bus Kutokea Dar- popote[emoji28]