Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππUmesomeka mkuu, wee panakuhusu kule uhasibu ukashangae na twiga[emoji23][emoji23][emoji23]
wewe hupendi πππUzi poa sana huu ila naona hapo katikati thread imekua ya kireee ni mwendo wa story za kutiana tu.
Shy mwanzo huku ndio wanoko waleKweli kbs wanakaa mafungu mafungu hilo eneo napenda nipite kabda hakujakuchwa kukwepa iyo kero maana kosa 1 rushwa wanataka nusu ya fine wehu wale, trafic wengine chenga wapo shy ukitoboa unabahati!
Trafiki wetu wengi wao wana wivu na roho mbaya, wacache sana washua..Halafu namba moja alikataza suala la trafk kutumia fine kama kutunisha mfuko wa serikali.
haya ndio maswali ya msingi.Kwa hiyo uliangalia tu ama....
bike ya cc ngapi?A little less than an hour... bike huwa ni 90kmph average speed na kwasababu haina 50 wala sheria zozote always napata hiyo spidi. Consumption 30kmpl. Kananusa tu wese.
watu hawajagundua vigari vidogo vya diesel kumbe...Au uhamie kwenye kabisa kwenye vits [emoji1787]
Kama private jet yako inapiga road trips fresh comment tu hapa hapa mkuuIvi na wenye private jet tunacomment hapa au kuna uzi wetu maalum
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Pale Misungwi napo wamezidi unoko,ila ttzo ni kwamba kwenye ule mgao wa camera nao walipewa sawa na wilaya zingine ilhali wao wana barabara moja pekeeShy mwanzo huku ndio wanoko w
Turbo Charged Supercharged Petrol.Ha ha! All Volvos from 2015 come in 2L
Muhimu ni kuwa makini na ishara za madere wengine. huwa zinaniokoa sanaaa, trafiki wa ule ukanda ukikutana na mwenye roho mbaya shetani akajifunze upya asee...Pale Misungwi napo wamezidi unoko,ila ttzo ni kwamba kwenye ule mgao wa camera nao walipewa sawa na wilaya zingine ilhali wao wana barabara moja pekee
unashika kichwa kwa furaha au maumivu mkuu ?Turbo Charged Supercharged Petrol.
Fuel consumption yake unashika kichwa.
European rides ndio zipo zipo na Japanese chache zilizolenga soko la Yuropa (high end motors), hizi za kivyetu vyetu sijaziobserve kwa uwingi huo aisee. Unaweza share vyuma uvitambuavyo vinavyofit soko letu?watu hawajagundua vigari vidogo vya diesel kumbe...
Huwa wanatafuta vyeo na sifa ya ukusanyaji mapato kuwashinda tra,hivyo huwa wanakaza sanaMuhimu ni kuwa makini na ishara za madere wengine. huwa zinaniokoa sanaaa, trafiki wa ule ukanda ukikutana na mwenye roho mbaya shetani akajifunze upya asee...
unaweza bahatisha hata za Kijapani, ingawa ni chache mno. nilipata Probox lenye 1ND-TV (1.4L turbodiesel) beforward Japan, mwaka jana hiyo. lilikuwa na mileage 200k+ km ila hadi leo haina magonjwa ya ajabu ajabu pamoja na kuwa imetembea kweli, na kwa maintenance za kawaida tu (oil changes, matairi, vitu kama hivyo).European rides ndio zipo zipo na Japanese chache zilizolenga soko la Yuropa (high end motors), hizi za kivyetu vyetu sijaziobserve kwa uwingi huo aisee. Unaweza share vyuma uvitambuavyo vinavyofit soko letu?
160 mkuubike ya cc ngapi?
Unashika kichwa kwa kushangaa good fuel economy ama ujini wa gari!Turbo Charged Supercharged Petrol.
Fuel consumption yake unashika kichwa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama private jet yako inapiga road trips fresh comment tu hapa hapa mkuu