Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Top 90 best selling SUV global 2020

Naona Mjapani anatamba kwenye mauzo!

Ila hili Hyundai Palisade limekaa kibabe sana.

69F361E6-B84B-4D87-9628-70AEF79F4CFA.jpeg


72BCF9AD-EFF9-447D-A010-576F18CB8C3A.jpeg


A6124BB3-2123-4246-9C7A-63C581A7DCE9.jpeg


D6125241-0008-4B0F-B874-635F7858D7B5.jpeg


708C16BE-813B-49C0-B8E7-E951201D1ED1.jpeg


DE3D5595-847A-4AA6-B391-00C3D22A9FE6.jpeg


C91DD6E5-0A98-44EC-9392-0D8BF9687316.jpeg


54EF9B8E-1B74-4A29-90AE-DCFE81BC7F52.jpeg


70258150-6904-4611-B937-3ADCE3680AB8.jpeg
 
Kaziiii

Jitupe mission tu sasa. Uwe unafanya kazi ya kuhama Leo Lebanon, kesho Afrika ya Kati, mtondogoo upo Kongo.
Mshauri mshua wako waimarishe huduma ya afya ya akili huko jeshini hasa kuwasaidia great soldiers wanaotoka kwenye battle fields kuwatolea Ile Post traumatic stress disorders.

Vijana wengi wanakuwa abandoned and neglected.
 
Nashindwa kuelewa kwa Nini Peugeot zimepotea ktk ardhi yetu ilhali tulishawahi kuwa nazo na duniani bado zinatamba?
Kwa wale vijana wa juzi, pale kwenye mataa ya Serena(Bibi titi/Ohio street) kulikuwa na round about. Ukinyoosha kushoto kwako kulikuwa na Peugeot house ambapo kulikuwa kunauzwa Peugeot mpya kabisa!
 
Wengi wapo tu mtaani katika umri mdogo huku uchumi ukiwa mbovu.-ila hili siyo muhimu katika hoja yangu.

Hoja yangu ya msingi ningependa kuona afya ya akili inaimarishwa vyema na kutiliwa mkazo jeshini. Nadhani inahitajika sana.
Duh sijaona mtu mwenye shida hizo aisee.
We unasemea wale wanaotemwa baada ya u service ku'expire?

Hao wa mission mbona wako bien sana?
 
Back
Top Bottom