Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau kuwa huyo ni mvuvi hodari 😁😁😁Hivi Una mke mdogo hapo Singida?
Dah!Now u saw it
Ah wapiDah!
Sasa kila mtu atakuwa mpole,, Hadi mimi najiingiza kundi la wapole .
😊😊😊 Na anajua kupika huyo, chakula chake kitamu sanaaaHivi Una mke mdogo hapo Singida?
Hili nalo ni neno , natoka singida saa moja saa tatu na nusu nipo bambalaga tunaanza na supu nzito kabisaa.. jumamosi naona panawaka sana pale , shida hawawezi zile za kibabe asubuhi pale wanabaki sana wachezaji wa akiba, wachezaji wote wa maana wanakata pumzi mapemaIli kumpunguzia safari ya kupanda milima kuja hapo Singapore itapendeza wewe mwenyeji ushuke fasta uumpeleke pale bambalaga na viwanja vingine mgeni afurahie
Kwahio unanishauri nisibebe mbuzi, nibebe chumvi pilipili na kisu tu?!Hili nalo ni neno , natoka singida saa moja saa tatu na nusu nipo bambalaga tunaanza na supu nzito kabisaa.. jumamosi naona panawaka sana pale , shida hawawezi zile za kibabe asubuhi pale wanabaki sana wachezaji wa akiba, wachezaji wote wa maana wanakata pumzi mapema
Offshore Seamen
Hapo chukua chumvi tu , ndimu, pilipili na kisu, huku kondoo wenye mikia iliyo nona ipo mbuzi walio nawili yaani ni wewe unachagua mfugo upi na kwa kwa mapishi ya style upendayoKwahio unanishauri nisibebe mbuzi, nibebe chumvi pilipili na kisu tu?!
😂Ah wapi
Ukiwa unaimaliza gairo kuuanza mkoa wa dodoma, kuna kimuiniko kimoja kireeefu..Holy Man ISO M.CodD wiki ya kwanza mwezi ujao nina trip ya Dodoma. Sijawahi kupita njia ya Kati zaidi ya Morogoro. Nipeni dondoo njia ikoje hasa kwa gari zetu zinazotembelea tumbo!
Huwa nabaki na maswali mengi sana kuhusu mainjinia wetu.Ukiwa unaimaliza gairo kuuanza mkoa wa dodoma, kuna kimuiniko kimoja kireeefu..
Sasa juzi alhamisi wameweka vituta vyembamba lakini vikali sana. Gari za chini lazima zikwangue labda wawe wamerekebisha.
Kwa kifupi huo mpando wameuharibu kabisa! Ikitokea malori yamekutangulia hapo ni balaa
Sio Ranchi ya Kongwa kweli hapo?Ukiwa unaimaliza gairo kuuanza mkoa wa dodoma, kuna kimuiniko kimoja kireeefu..
Sasa juzi alhamisi wameweka vituta vyembamba lakini vikali sana. Gari za chini lazima zikwangue labda wawe wamerekebisha.
Kwa kifupi huo mpando wameuharibu kabisa! Ikitokea malori yamekutangulia hapo ni balaa
Hii lugha ingineHapo chukua chumvi tu , ndimu, pilipili na kisu, huku kondoo wenye mikia iliyo nona ipo mbuzi walio nawili yaani ni wewe unachagua mfugo upi na kwa kwa mapishi ya style upendayo
Na kwenda Kusomeshwa Europe au Asiamacho yanawatoga kama mjusi kabanwa na mlango wakisikia habari za sudan na kwingineko [emoji3][emoji3]
Haha nchi ngumu hii bwashee bila mamlaka Utapata taabu sanaBado anaweza akawa askari asie na mamlaka wala uniform na Taifa likanufaika yeye sana. shida watu wanapenda mamlaka pia. Ukitaka taifa linufaike na kuwa salama hauitaji kuwa askari hata [emoji3][emoji3] hata kuhakikisha kipindu pindu na malaria mtaani kwako vinatokomea nayo ni huduma kubwaaa sana
Pale ni gairo mkuu! Upande wa kulia ipo stendi ya gairo na filling station ya lake oil..Sio Ranchi ya Kongwa kweli hapo?
Ok mkuu nimekupata.Pale ni gairo mkuu! Upande wa kulia ipo stendi ya gairo na filling station ya lake oil..
Singapore hapo ni hatari sana, unaweza ukatafuta breakdown ili ubaki.Hili nalo ni neno , natoka singida saa moja saa tatu na nusu nipo bambalaga tunaanza na supu nzito kabisaa.. jumamosi naona panawaka sana pale , shida hawawezi zile za kibabe asubuhi pale wanabaki sana wachezaji wa akiba, wachezaji wote wa maana wanakata pumzi mapema
Offshore Seamen
Kupambania mamlaka ni hatari sana kwa ustawi wa taifa hata familia. Mbona wengine tunaishi vizuri na hatuna hayo mamlakaHaha nchi ngumu hii bwashee bila mamlaka Utapata taabu sana