Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Usiku siwezi ule mwanga wa gari za upande wa pili.Safiri usiku maanake vyeti ni kwenye 50 limit au panazuia kuovateki usiku hamna hivyo vizuizi.
Ukinipiga natoka nje kabisa kuadjust visibility.
Pia usiku siwezi ona mbali kama mchana. Huwa naona risk sana kusafiri usiku kuliko mchana.
Trafic ni jambo dogo sana la kuogopa barabarani. Hawawezi kukaa kwenye 50 zote barabarani.
Kwa njia ya kaskazini, point zote kuu za trafiki nazifahamu na kazi zao ni zipi. Unaweza kuta sehemu wanafanya ukaguzi tu wa kadi ya gari au wanakagua mabasi makubwa, au wanakagua magendo, au wanakagua malori ya mizigo wote hawahusiki na tochi wala overtaking.
Na kuna visehemu wanadeal na wrong overtaking pekee, hawa hata ukioverspeed hawana shida na wewe kwasababu hawana tochi.
Kutoka bagamoyo mpaka msata tochi inakuwa 1/2. Toka msata mpaka segera tochi ni kama 2/3. Toka segera mpaka korogwe hakuna tochi. Toka korogwe mpaka mombo hakuna tochi. Toka mombo mpaka Same unaanza kukutana na tochi ukishapita mwanga kwenda njia panda. Njia panda mpaka moshi town hapo ndo balaa lenyewe lilipo.